Mbona yule nyoka mweusi hawamuogopi?Daah kuandika kote misamaha huko afu hukusoma. Sio vizuri hivo
Hii nimefungua huku simu nimeipindisha😂Daah kuandika kote misamaha huko afu hukusoma. Sio vizuri hivo
Huyo ni koboko ila ni Bado mtoto sasa hapo baba na mama yake itakuwa wanamtafuta mtoto jipange mkuu
Kama ni black mamba ni bora umeiondoa familia kwa maana sumu yake sio poa, akikugonga huponi.
Huyo sio black mamba au Koboko kwa jina lililozoeleka kwasababu Morogoro ipo kwenye ukanda wa tropical savannah ambao ina receive bimodal rainfalls and two peak of high rainfalls ambapo Koboko hapendi kuishi kwenye maeneo ya ukanda kama huo. Blackambas wanapendelea kuishi kwenye ukanda wa savannah yenye rock hills yasioyokaliwa na binadamu.Pole na hongera kwa kufanikiwa kumdhibiti. Nadhani anaweza akawa black mamba/koboko.
Njia ambayo nimewahi kuitumia kudhibiti nyoka ni kumwaga mafuta machafu kuzunguka nyumba yote na baadhi ya maeneo ambayo unahisi wanaweza kuwepo.
Yule jamaa na mkewe wana kitu cha ziada, na halafu wanawarudisha porini... Wakifa wanawazika kabisa... Ujasiri walionao si mdogoNipo naangalia kipindi cha snake in city hapa hapa jamaa hao anawapapasa na mkono kama anachezea fimbo!
Ana hatari huyu!!!
Hii ndio nimeijua leo,, hawependi ule moshi au harufu?Mkuu choma mpira kwenye eneo lako watahamq wote,Ila huyo sio Koboko.
Nilikua naomba tu radhi mkuu. SorryHii nimefungua huku simu nimeipindisha😂
Sitaki kujua kama uliomba samahani nahisi unaniongopea uliendelea kutuma
Acha uoga wewe😀Nimescroll fasta ili nisimuone huyo nyoka nishindwe kulala usiku mie!
Aisee, ila nyoka ni kiumbe kinatisha aisee sijui kwa nini.Huyo sio black mamba au Koboko kwa jina lililozoeleka kwasababu Morogoro ipo kwenye ukanda wa tropical savannah ambao ina receive bimodal rainfalls and two peak of high rainfalls ambapo Koboko hapendi kuishi kwenye maeneo ya ukanda kama huo. Blackambas wanapendelea kuishi kwenye ukanda wa savannah yenye rock hills yasioyokaliwa na binadamu.
Huyo ni brown house snake na Hana shida hata kidogo kwa binadamu, ni uoga wa watanzania na kutokuwa na elimu ya hawa viumbe so wamuonapo nyoka yoyote tu wanajua wapo kwenye hatari. Kuna zaidi ya species 3000 ya nyoka duniani lakini ni 200 tu wenye uwezo wa kumdhuru binadamu.
Yameisha usijali.Nilikua naomba tu radhi mkuu. Sorry
Ni kama wewe, lazima huwa unapata shida ya kupumua unapotiwa na moshiHii ndio nimeijua leo,, hawependi ule moshi au harufu?
Huyo Alikuwa Anajitegemea Si Simba Huyo Hadi Wafatiliane Kama UkooHuyo ni koboko ila ni Bado mtoto sasa hapo baba na mama yake itakuwa wanamtafuta mtoto jipange mkuu
Sawa ila kagua kagua chini ya mto na kwenye miguu ya kitanda nyoka hupenda kukaa hapoYameisha usijali.
Kila nyoka ana sifa zake za kipekee na mazingira wanayopendelea kuishi. Ina hitaji umakini wa hali ya juu kuweza kuwatambua na kujua mpaka aina ya sumu wanayotoa ili incase ikitokea ukang'atwa ujue unapaswa kuchukua hatua gani.Aisee, ila nyoka ni kiumbe kinatisha aisee sijui kwa nini.
Halafu wanafanana, sasa kuliko kujipa matumaini hatokua na sumu ni bora kuua tu, tatizo unaweza mkanyaga bahati mbaya akakudhuru.
Mkuu wala usihamishe familia. Just fanya hivi...Peace,
Wakuu jirani yangu amekua ananiambia hua anamwoma nyoka mkubwa nyakati za jioni akikatiza katika uzio wake. (Uzio unaotutenganisha) awali nilidhani ananitania maana manawake huwa waoga waoga tu akiona kijiti anaweza kusema nyoka au pia utani na masikhara
Lakini kwa umri wake sio mtu wa utani (mama mtu mzima) aliponiambia mara ya pili na ya tatu nikaanza kua makini. Sasa leo jioni hii upande wa pili na kule anakoniambia nimekutana na huyu nyoka nikamuua.
Nilipomuita aje kumtazama akasema nyoka anayemuonaga ni kama huyu kwa muonekano ila mkubwa zaidi, akasema ni kama mara 3 kwa unene na urefu hana uhakika maana hua hamuoni mwanzo mpaka mwisho wake.
Wakuu hapa naona sasa nahitaji kukaa mguu sawa maana ni kama kuna kambi ya hawa viumbe maeneo haya tuna share oxygen pamoja. Huyu niliyemuua anaweza kuwa mtoto wa huyo anaeonekana. Hapa kutakua na kiota.
Wakati najipanga kuwakabili hawa wajomba naomba aliye na ufahamu wa aina za nyoka anifahamishe huyu ni aina gani ya nyoka na tabia zake na je natakiwa kukabiliana nao katika mtindo upi.
(Najua utaratibu wa kuwataarifu mamlaka ya maliasiri lakini wote tunaifahamu nchi yetu kama ghorofa la Kishimba lilipoungua wakataarifiwa jeshi la zima moto sio tu walikuja siku iliyofuata yani walifika baada ya masaa 32 ila pia walikuja na gari halina maji, unaweza ukapata picha kuwategemea mamlaka za serikali ilivyo riskView attachment 2953224
Update: Nimelazimika kuihamisha familia (mke, watowo watatu na dada wa kazi) hapa nitabaki mwenyewe mpaka vita na hawa viumbe itakapofika tamati, maana kuna kila dalili huu mziki utakua bab kubwa. Hapa kutakua na kiota
Hivi hua huogopi kabisa hawa viumbe ww😳😳😯Nyoka hana shida kama hujamchokoza
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com