Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sasa huyo mbona umemchuna tayari
Nani atamjua
Nani atamjua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio uongo ni kweli hana sumu huyo[emoji16][emoji16][emoji16] we acha uongo
Ama kweli watanzania wengi ni vichaa.Ni watamu balaa hao nyoka.
Yeye kanitumia kwa kuniquote nimefungua nikijua ni ujumbe kumbe pichaUlisema hutofungua picha Nini kilikufanya uzifungue?
nashukuru sana mkuu, kumbe nimeua nyoka asie na madharaKama ni Morogoro basi atakuwa ni BROWN HOUSE SNAKE ambao wanapenda sana kukaa kwenye makazi ya watu wakila panya, mijusi. Ni nyoka wasio na sumu na ni completely harmless to humans.View attachment 2953250 wanapatikana kwa wingi sana Morogoro mjini.
Nadhani nimekusaidia mkuu
jiandae ukoo wa huyo nyoka unakuja kwenye maomboleze ya mwenzaoPeace,
Wakuu jirani yangu amekua ananiambia hua anamwoma nyoka mkubwa nyakati za jioni akikatiza katika uzio wake. (Uzio unaotutenganisha) awali nilidhani ananitania maana manawake huwa waoga waoga tu akiona kijiti anaweza kusema nyoka au pia utani na masikhara
Lakini kwa umri wake sio mtu wa utani (mama mtu mzima) aliponiambia mara ya pili na ya tatu nikaanza kua makini. Sasa leo jioni hii upande wa pili na kule anakoniambia nimekutana na huyu nyoka nikamuua.
Nilipomuita aje kumtazama akasema nyoka anayemuonaga ni kama huyu kwa muonekano ila mkubwa zaidi, akasema ni kama mara 3 kwa unene na urefu hana uhakika maana hua hamuoni mwanzo mpaka mwisho wake.
Wakuu hapa naona sasa nahitaji kukaa mguu sawa maana ni kama kuna kambi ya hawa viumbe maeneo haya tuna share oxygen pamoja. Huyu niliyemuua anaweza kuwa mtoto wa huyo anaeonekana. Hapa kutakua na kiota.
Wakati najipanga kuwakabili hawa wajomba naomba aliye na ufahamu wa aina za nyoka anifahamishe huyu ni aina gani ya nyoka na tabia zake na je natakiwa kukabiliana nao katika mtindo upi.
(Najua utaratibu wa kuwataarifu mamlaka ya maliasiri lakini wote tunaifahamu nchi yetu kama ghorofa la Kishimba lilipoungua wakataarifiwa jeshi la zima moto sio tu walikuja siku iliyofuata yani walifika baada ya masaa 32 ila pia walikuja na gari halina maji, unaweza ukapata picha kuwategemea mamlaka za serikali ilivyo riskView attachment 2953224
Update: Nimelazimika kuihamisha familia (mke, watowo watatu na dada wa kazi) hapa nitabaki mwenyewe mpaka vita na hawa viumbe itakapofika tamati, maana kuna kila dalili huu mziki utakua bab kubwa. Hapa kutakua na kiota
umejuaje ni black mamba na ili hali hujaangalia ndani ha mdomo wake ??Huyo atakuwa Black mamba wale wanajikunjaga wanaruka umbali mrefu kama sikosei ila pia huwa wanakimbiza adui yaani kumuua kama ni wale wakubwa inahitaji akili kubwa
Anakudanya aseeMkuu nilikua nahisi huyu ni koboko aise aise kama ni yeye nimeyatimba
Huyo sio black mamba mzeeumejuaje ni black mamba na ili hali hujaangalia ndani ha mdomo wake ??
Nyoka hahitaji kuchokozwa ili akuzuru, nyoka ameumbwa kuzuru, so ukimuona maeneo ya makaazi muwahi, umuue ukimkuta porini mdiyo umuacheNyoka hana shida kama hujamchokoza
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com
Hiyo nyumba siwezi kukaaNi moja ya nyoka nawaogopa saana, halafu shambani mwangu wapo kedekede.. pale mtaani tushawauwa kama 5,6 hivi, ndani niliuwa vitoto vyake viwili, kisha nikauwa vitoto vya cobra navyo viwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiandae ukoo wa huyo nyoka unakuja kwenye maomboleze ya mwenzao
watu wamekazana eti sjui black mamba sjuu koboko nyamuando ata kama ni mdogo kama aliyeua huyu jamaa sio rahisi kumuua nyoka wote wenye asili ya Sumu kali wanapenda kuishi sehemu zenye mawe mawe na mapori makubwaMorogoro hakuna nyoka wakali