Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano tabora na mapori ya lunzewenyoka wote wenye asili ya Sumu kali wanapenda kuishi sehemu zenye mawe mawe na mapori makubwa
Kumbe naweza kumfuga kwa ajili ya panya kama pakaKama ni Morogoro basi atakuwa ni BROWN HOUSE SNAKE ambao wanapenda sana kukaa kwenye makazi ya watu wakila panya, mijusi. Ni nyoka wasio na sumu na ni completely harmless to humans.View attachment 2953250 wanapatikana kwa wingi sana Morogoro mjini.
Nadhani nimekusaidia mkuu
Hiyo nyumba siwezi kukaa
Unamuona tu kwa rangi yake ya juu..japo wapo wachache mnooo wanafanana na Black mamba...watu tumeishi mazingira ya nyokaumejuaje ni black mamba na ili hali hujaangalia ndani ha mdomo wake ??
Watu wanadhani kila nyoka ni vernomous wengine hawana sumuHuyo ni brown house snake Hana madhara! Mzuri kwa kutunza mazingira ya nyumbani anapendelea panya waharibifu ni harmless yaani non venomous
Sio kweli kuna nyoka wengi sana wana rangi hiyo na sio black mambaUnamuona tu kwa rangi yake ya juu..japo wapo wachache mnooo wanafanana na Black mamba...watu tumeishi mazingira ya nyoka
Yes inawezekana kabisa na akakua mkubwa kama 3m cha msingi asiwe anatoka tu nje maana watu wakimuona wataanza kukuhusisha na imani zingine au wakakuulia mifugo wako pendwa😀Kumbe naweza kumfuga kwa ajili ya panya kama paka
Yeah yule jamaa na mke wake watapandwa na jazba na kujiuliza ni jamii gani hii haijali haki za kuishi kwa wanyama wengine?😀Watumie hiyo picha wale wa South Africa wa kipindi National Geographic Channel kinaitwa snake in the city kama sijakosea...ila watasikitika sana kuona umemuua maana wao huwa hawauii.
Black mamba anaweza kujulikana kwa rangi nyeusi ilyokolea ndani ya mdomo wake pale anapofoka au akisimama wima kwa 3/4 ya mwili wake vinginevyo ni rahisi kumchanganya na aina nyingine ya nyoka kwa rangi yake.Sio kweli kuna nyoka wengi sana wana rangi hiyo na sio black mamba
Nyoka hana shida kama hujamchokoza
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com
Huyu nyoka hana shida kama hujamchokoza huonekana majira ya mchana pekee, nimepishana nao katika harakati za kilimo huko Kimashuku, kwa jina simjui.Peace,
Wakuu jirani yangu amekua ananiambia hua anamwoma nyoka mkubwa nyakati za jioni akikatiza katika uzio wake. (Uzio unaotutenganisha) awali nilidhani ananitania maana manawake huwa waoga waoga tu akiona kijiti anaweza kusema nyoka au pia utani na masikhara
Lakini kwa umri wake sio mtu wa utani (mama mtu mzima) aliponiambia mara ya pili na ya tatu nikaanza kua makini. Sasa leo jioni hii upande wa pili na kule anakoniambia nimekutana na huyu nyoka nikamuua.
Nilipomuita aje kumtazama akasema nyoka anayemuonaga ni kama huyu kwa muonekano ila mkubwa zaidi, akasema ni kama mara 3 kwa unene na urefu hana uhakika maana hua hamuoni mwanzo mpaka mwisho wake.
Wakuu hapa naona sasa nahitaji kukaa mguu sawa maana ni kama kuna kambi ya hawa viumbe maeneo haya tuna share oxygen pamoja. Huyu niliyemuua anaweza kuwa mtoto wa huyo anaeonekana. Hapa kutakua na kiota.
Wakati najipanga kuwakabili hawa wajomba naomba aliye na ufahamu wa aina za nyoka anifahamishe huyu ni aina gani ya nyoka na tabia zake na je natakiwa kukabiliana nao katika mtindo upi.
(Najua utaratibu wa kuwataarifu mamlaka ya maliasiri lakini wote tunaifahamu nchi yetu kama ghorofa la Kishimba lilipoungua wakataarifiwa jeshi la zima moto sio tu walikuja siku iliyofuata yani walifika baada ya masaa 32 ila pia walikuja na gari halina maji, unaweza ukapata picha kuwategemea mamlaka za serikali ilivyo riskView attachment 2953224
Update: Nimelazimika kuihamisha familia (mke, watowo watatu na dada wa kazi) hapa nitabaki mwenyewe mpaka vita na hawa viumbe itakapofika tamati, maana kuna kila dalili huu mziki utakua bab kubwa. Hapa kutakua na kiota
Nitakutafuta mmoja nikuletee nyumbani umfuge. Ni mfugo mzuri tu kama paka mwenye manyoya mengi akipendezesha nyumba😆😆Mimi na nyoka hapana jamani
Anaitwa brown house snake mkuu. She is completely harmless to humansHuyu nyoka hana shida kama hujamchokoza huonekana majira ya mchana pekee, nimepishana nao katika harakati za kilimo huko Kimashuku, kwa jina simjui.
Nyumbani wageni hawatakanyaga 🤣Yes inawezekana kabisa na akakua mkubwa kama 3m cha msingi asiwe anatoka tu nje maana watu wakimuona wataanza kukuhusisha na imani zingine au wakakuulia mifugo wako pendwa😀
Wakija unamwambja nyoka wako, ingia chini ya uvungu na usitoke🤣Nyumbani wageni hawatakanyaga 🤣
Utakuwa mdada wew Tena bikraNimescroll fasta ili nisimuone huyo nyoka nishindwe kulala usiku mie!