Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

polisi wameachia tangazo la ajira,wenye vigezo ruksa kutuma maombi
 
Nilichokiona mimi ni issue ya confidence tuu hasa ORAL ....maana written ni ya kawaida Sana wanatoa maswali kulingana na fani yako

Ila oral mzee ile paneli ya wale jamaa dooh unaweza ukaanguka kama unawoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

YOTE KWA YOTE USAILI WAO NI WA KAWAIDA SANA
Broh umepotea toka uende kozi au hujamaliza kozi

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom