Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhamiaji ni pagumu japo ni kujaribuMiatano mbna kma chache za uhamiaji
Miatano mbna kma chache za uhamiaji
Tuombe M/munguHata za polisi hatujajua nafasi ni ngap tuaply tu mzee
AmeenTuombe M/mungu
Lonja kama buku 3 hivi ,nadhanHata za polisi hatujajua nafasi ni ngap tuaply tu mzee
Sawa chief
Mzigo ni huoHata za polisi hatujajua nafasi ni ngap tuaply tu mzee
Wamesema awe mwenye afya njema iliothibishwa na daktari wa serikali hii ndo maana halisi ya kutaka uthibitishoWadau nimeona baadhi ya watu wanahangaika kutafuta form za hospital hii imekaaje au kukariri maisha sababu mwaka huu hawajataka hiyo form
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
mkuu navojua EMS ni miongoni mwa mfumo wa Haraka wa Posta na Hupeleka kwenye target adress ulio iandika ,na ndio means niliotumia kutuma maombi sababu hufika haraka DOmu Barabara ya Mwangosi.Mengine atajua Mungu MwenyeweMsaada wakuu napata ukakasi jinsi ya kutuma maombi ya Uhamiaji je njia nzuri ni ipi EMS au kawaida View attachment 2445687
Tofautisha vigezo na viambatanishoWamesema awe mwenye afya njema iliothibishwa na daktari wa serikali hii ndo maana halisi ya kutaka uthibitisho
Uhamiaji hao ndio wametakaWadau nimeona baadhi ya watu wanahangaika kutafuta form za hospital hii imekaaje au kukariri maisha sababu mwaka huu hawajataka hiyo form
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Mimi nimetuma kwa EMS .kuondoa utata nimetrack mzigo uko deliveredMsaada wakuu napata ukakasi jinsi ya kutuma maombi ya Uhamiaji je njia nzuri ni ipi EMS au kawaida
but uta wa prove vipi kama umepimwa na daktari wa serikali mkuu ?Uhamiaji hao ndio wametaka
Kwenye viambatanisho
Kama wameweka kwenye polisi ndio wale wamekariri ya nyuma
hawajasoma maelekezo ya barua
Hawajui tofauti ya viambatanisho na vigezo
Mkuu barua ya haitapokelewaMimi nimetuma kwa EMS .kuondoa utata nimetrack mzigo uko delivered
Madhara ya Ems,Mimi nimetuma kwa EMS .kuondoa utata nimetrack mzigo uko delivered