Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Wadau nimeona baadhi ya watu wanahangaika kutafuta form za hospital hii imekaaje au kukariri maisha sababu mwaka huu hawajataka hiyo form

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Hata za polisi hatujajua nafasi ni ngap tuaply tu mzee
Mzigo ni huo
JamiiForums-1815792966.jpg

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Msaada wakuu napata ukakasi jinsi ya kutuma maombi ya Uhamiaji je njia nzuri ni ipi EMS au kawaida View attachment 2445687
mkuu navojua EMS ni miongoni mwa mfumo wa Haraka wa Posta na Hupeleka kwenye target adress ulio iandika ,na ndio means niliotumia kutuma maombi sababu hufika haraka DOmu Barabara ya Mwangosi.Mengine atajua Mungu Mwenyewe
 
Wamesema awe mwenye afya njema iliothibishwa na daktari wa serikali hii ndo maana halisi ya kutaka uthibitisho
Tofautisha vigezo na viambatanisho

hata ile asiwe mhalifu ina kithibitisho chake fomu yake inatumika sana mfano kwa wale wanaenda aboard Ile ingewekwa pia

Kwa tafsiri yako
 
Wadau nimeona baadhi ya watu wanahangaika kutafuta form za hospital hii imekaaje au kukariri maisha sababu mwaka huu hawajataka hiyo form

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Uhamiaji hao ndio wametaka

Kwenye viambatanisho

Kama wameweka kwenye polisi ndio wale wamekariri ya nyuma

hawajasoma maelekezo ya barua

Hawajui tofauti ya viambatanisho na vigezo
 
Msaada wakuu napata ukakasi jinsi ya kutuma maombi ya Uhamiaji je njia nzuri ni ipi EMS au kawaida
Mimi nimetuma kwa EMS .kuondoa utata nimetrack mzigo uko delivered
 
Attachments

  • Screenshot_20221213-230227.png
    Screenshot_20221213-230227.png
    28.9 KB · Views: 19
Uhamiaji hao ndio wametaka

Kwenye viambatanisho

Kama wameweka kwenye polisi ndio wale wamekariri ya nyuma

hawajasoma maelekezo ya barua

Hawajui tofauti ya viambatanisho na vigezo
but uta wa prove vipi kama umepimwa na daktari wa serikali mkuu ?
 
Back
Top Bottom