Msaada interview za Jeshi la Magereza

Hii wiki ikikata hawajatoa huo mkeka, ndugu ndo tungojee mpaka december, maana Kuna intake iliwahi kufanyika 14 december , ko nikijaribu kuconnect na kipindi hiki naona kabisa huu mkeka wa Sasa unanunikia December.

Lakini sio mbaya ili na jw wakitoa tuombe pia
 
Vijana kaeni mkao wa kula na ondoeni hofu, kunyweni maji ya kutosha... hii week haiishi.
 
JW ukishindwa huwa wanakupa na sababu ya kushindwa kwako

kuna mtoto wa sister wangu alienda kwenye usahili wa JKT akiwa hana cheti chochote kile but walimchukua sababu alikuwa shap saana kwa kila kitu

mchakato wa kupata vyeti vyake vyote ukawa chini ya askari jeshi (koplo usu)
Aah wapi , labda Kama una connection ,kule Wana complication
 
Dah Kila nikiona notifications za Uzi huu nakuja chap najua Kuna pdf [emoji1787][emoji1787]
 
Kila nkiingia kwa website ya Magereza .inaonyesha account ipo suspended cjui kuna utaratibu upo unaendelea asee .
 
Week hii itakua ya motto du


KESHO HUENDA IKAWA SIKU MUHIMU SANA KWETU TULIOOMBA MAGEREZA
 
Week hii itakua ya motto du


KESHO HUENDA IKAWA SIKU MUHIMU SANA KWETU TULIOOMBA MAGEREZA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah hadi hio PDF itoke tutakua tumekula lonja za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…