Kwa hyo wanataka kutuambia Ka umefanyika tayari watu wao tayari ,kwa hyo wakiitisha usahili ni Geresha tu au bure kitendoWe jamaa ujaelewa somo,
Ni hivi usairi hatukatai ulifanyika ila ni ule wa mikoani. Ila huu wa makao wa wenye fani mbali mbali ndo bado
au sio hivyo mr genius?
Amna kitu hicho buana hii bongo yetu janja janja nyingi hatukatai ila sema sio mpk kufikia huko jamani usairi ufanywe kihuni huni hivyo watu tuweni na SUBIRA TIME WILL TELL.[emoji1][emoji1]Kwa hyo wanataka kutuambia Ka umefanyika tayari watu wao tayari ,kwa hyo wakiitisha usahili ni Geresha tu au bure kitendo
Iko hivii .....Usaili kwa wenye taaluma mbalimbali
bado na utafanyika kama kawaida msiwe na wasiwasi ila jiandaeni kwenda dodoma utafanyikia huko
Iko hivii .....
Usaili wote tayari. Na wa taalima ulifanyikia dodoma msalato. Kama hukupigiwa simu tafuta kitu kingine Cha kufanya kuruti
We nawe unayumba mkaliIko hivii .....
Usaili wote tayari. Na wa taalima ulifanyikia dodoma msalato. Kama hukupigiwa simu tafuta kitu kingine Cha kufanya kuruti
We nawe unayumba mkali
Mimi naishi Msalato na home tunatizamana na Makao makuu kabisa ..lakn Akuna mtu hata mmoja aliekuja wala kuckia kama kuna usaili
Kama hauna source ya kutoa taarifa ni bora ukakaa kimya tu .
Unapozungumza kitu uwe unatoa na mifano Basi kwamba rafiki ako au wew ulipigiwa simu , sio kuongea kitu ambacho huna nacho ushaidi ,Kwan utakufa kukausha.Iko hivii .....
Usaili wote tayari. Na wa taalima ulifanyikia dodoma msalato. Kama hukupigiwa simu tafuta kitu kingine Cha kufanya kuruti
Unapozungumza kitu uwe unatoa na mifano Basi kwamba rafiki ako au wew ulipigiwa simu , sio kuongea kitu ambacho huna nacho ushaidi ,Kwan utakufa kukausha.
Wengine si wanatafuta sifa tu ili nae aonekaneNa hata huo mfano akitoa kama ameamua kudanganya atatudanganya pia ni vyema tuu kiungwana kama hana taarifa za kweli akakaa kimyaaa tuu.......
Mkurungwa Jiniazi lonja za JW vp mzeya mi nishaondoa magugu huku site [emoji16]Na hata huo mfano akitoa kama ameamua kudanganya atatudanganya pia ni vyema tuu kiungwana kama hana taarifa za kweli akakaa kimyaaa tuu.......
Mkurungwa Jiniazi lonja za JW vp mzeya mi nishaondoa magugu huku site [emoji16]
Aya fundi km upo uwanja wa vita toa lonja thatha unauonaje uwanja?Mkurungwa Jiniazi lonja za JW vp mzeya mi nishaondoa magugu huku site [emoji16]
Usitegemee tpdf watatoa tangazo kama vyombo vya mamabo ya ndan vilivyofanya ,kama umeshapata lonja madogo wako rts kihangaiko piganisha uende kama huna mbanga Kaa pembenMimi binafsi jamaa alieniambia ameniambia ndani ya week hizi 2 kwa maana week inayokuja ndio ya 2 sasa ngoja tusikilizie kama ni ukweli au vipi....
Usitegemee tpdf watatoa tangazo kama vyombo vya mamabo ya ndan vilivyofanya ,kama umeshapata lonja madogo wako rts kihangaiko piganisha uende kama huna mbanga Kaa pemben
Usitegemee tpdf watatoa tangazo kama vyombo vya mamabo ya ndan vilivyofanya ,kama umeshapata lonja madogo wako rts kihangaiko piganisha uende kama huna mbanga Kaa pemben
Piganisha soja ,ukifika kamaslimie colonel mihala,CPT kavenuke kama yupo mtakua nae kama OC kipind cha uzalendoBinafs napiganisha mkiona nipo kimya mjue tear nimesepa [emoji16][emoji16]
Wakitaka uraiani lazima watangazeUsitegemee tpdf watatoa tangazo kama vyombo vya mamabo ya ndan vilivyofanya ,kama umeshapata lonja madogo wako rts kihangaiko piganisha uende kama huna mbanga Kaa pemben
Aliyejibiwa hivi kama hajatoa MACHOZI nitajitoa JFIko hivii .....
Usaili wote tayari. Na wa taalima ulifanyikia dodoma msalato. Kama hukupigiwa simu tafuta kitu kingine Cha kufanya kuruti
Tatizo lenu kuruti hamuamini. Endeleeni kusubiri basi huo usailiUnapozungumza kitu uwe unatoa na mifano Basi kwamba rafiki ako au wew ulipigiwa simu , sio kuongea kitu ambacho huna nacho ushaidi ,Kwan utakufa kukausha.