Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
Kwa hyo wanataka kutuambia Ka umefanyika tayari watu wao tayari ,kwa hyo wakiitisha usahili ni Geresha tu au bure kitendoWe jamaa ujaelewa somo,
Ni hivi usairi hatukatai ulifanyika ila ni ule wa mikoani. Ila huu wa makao wa wenye fani mbali mbali ndo bado
au sio hivyo mr genius?