Msaada interview za Jeshi la Magereza

Sijasema hajaeleweka mzee, ila kwa uandishi ule ni FORM IV aliyefeli. Atafute muda akajiendeleze kidogo ili kuficha aibu kama hizi.
Tafta kaz kijana acha kugombania ukoko na wadogo zako nyumban

Utaosha vyombo mpka lin?

Kahangaike, huandishi mbaya,nakula miatano kwa mwezi kaa hapo ukisema naandika vibaya.
 
Haya ww unayeandika vizur umefika wap? Uko jobless, acha dharau, dogo hutujui humu ndani wengine tupo huku tunatafta ajira za majeshi kuongeza misha hara hatuna njaa


Ww unakula nyumban unalala kwa wazaz ugali wa shkamoo, unamaliza oxygen nyumban, toka nyumban huone ugumu wa maisha.

Sibishani na watu waliosoma chuo cha nyuki mm.
 
SS bro press yake ilikuwa imejikita kwenye kuelekea , kwenye maadhimisho miaka 60 ya uhuru wa Tanzania, basi hayo ya ajira ni yako ,,jw hawazungumzigi sana mambo ya ajira kwenye press,,,tunajivunia jeshi letu
 
Mbona wengne hawakupigiwa simu Wala kufanya usaili wowote na huu mkeka kwao ndo usahili wa kwanza au unamana gani kusema usahili wa pili???
 
Hongereni wote ambao kwa rehema za mungu majina yetu yameonekana kwenye mkeka wa usaili wa magereza,hii ni hatua kubwa sana[emoji120][emoji120][emoji120]

MUNGU AWE NASI TUFANYE VIZURII KWENYE USAILI
Amen🙏🏾...Mungu atusimamie tu kwakweli na atatushindia kwa Imani sawasawa na mapenzi yake🙏🏾🤲🏾
 
Wanatuumiza sana hawajui tu kama una vigezo vyote na huitwi inamaanisha nini mbona uzalendo tumeuweka mbele
 
Kuna yeyote aliepeleka post zake moja kwa moja Msalato bila kutumia email na kaitwa kwenye usahili ?
 
Yani kwa taarifa niliyonayo hapa wakuu kama hujaitwa naulikua na vigezo vyote kuna kigezo cha GPA kilihusika pia. waliangalia mpaka GPA yako ya chuo...kila taaluma walikua wanasort by GPA ni hayo tu wadau.Kama taaluma yako walikua wenye GPA kubwa wengi basi GPA ndogo hawakuitwa.
 

Hahahahaha dah aisee mbona watu mnatoaga data zauongo ivo.....

Ngoja nitoe mfano mimi nilivotuma maombi sijaambatanisha trancript na jina langu nimeliona....

LABDA KAMA CHETI KINAONYESHA GPA SAWA[emoji38][emoji38]
 
Kuna jamaa yangu ana gpa ndogo sana yan ila kaitwa..Your GPA doesnt matter
 
Na kama ulitumia transcript bila cheti je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…