Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Jaman kwa ambao wamekuwa shortlisted kwny masahiliano na magereza km mr. Generous na wengineo Kama title ya uzi husika inavyosomeka tunaomba kufahamishana mambo madogo madogo ya kuzingatia kwa mtu binafsi au mambo ya msingi ambayo ni muhimu kuyafahamu kuhusu magereza Tanzania angalau tupate kufahamishana mambo 2 matatu.

Asante

Naomba kuwasilisha tafadhali..
 
Kweli kaka......mimi nachoona nikupitia pitia mambo ya taaluma yako

Maana polisi nakumbuka walifanya oral + written kuhusu mambo ya fani husika,hawakutoa maswali nje ya fani husika.

HUKU MAGEREZA SIJAJUA WATATUMIA FORMAT IPI
 
Mkitoka leo mtuibie lonja me sijaitwa ila nipo dodoma TU Sasa nawaza kwenda so Leo mkitoka mtuambie na mamluki Kama walikuwepo ili tukajarvu bahat
 
Mkitoka leo mtuibie lonja me sijaitwa ila nipo dodoma TU Sasa nawaza kwenda so Leo mkitoka mtuambie na mamluki Kama walikuwepo ili tukajarvu bahat
Orodha iliotoka kwenye tangazo la usaili ndo wanaitumia hiohio wakati wa kuingia Venue kwenye written exam
 
Chuma written, maswali ya taaluma yako. Maswali 10 unachagua 8 unayotaka... Agri. General, horticulture, agronomy na crop production wote mtihani mmoja, makundi mengine pia hvohvo
Ww uko tarehe ngap
 
Naomba kuuliza Asee
Kuna uwezekano wa kutolewa kwa majina mengine ya usahili wa wenye taaluma kama walivyofanya PT
 
Sio lazima tupate...
Btw wenyewe ndo wanajua kwann wamefanya hvo, ko huna Cha kuconclude hapo.
Kama wanataka watu serious, oral inakuwa ngumu kidogo

Tulifanyiwa hivyo tulioenda polisi barick, oral ilitupa matumain ya kupita lakin wap?
Kidogo writtern walikaza, nailionekana kweli kweli lakin matokeo ya majibu yalikua kinyume na matarajio ya wengi.

Tuombe mungu
 
Back
Top Bottom