Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Nilichokiona mimi ni issue ya confidence tuu hasa ORAL ....maana written ni ya kawaida Sana wanatoa maswali kulingana na fani yako

Ila oral mzee ile paneli ya wale jamaa dooh unaweza ukaanguka kama unawoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

YOTE KWA YOTE USAILI WAO NI WA KAWAIDA SANA
 
Kikubwa kuomba mungu
 
Noma sana, Maofisa kama 15 hivi af mabega yamejaa
 
Hahahahaha aisee ni noma sio kidogo yaaaani duh [emoji849]....ukitoka mule ndani unashukuru tu mungu hujafa [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nilichopenda tu kwa magereza ni kwamba mnaingia kupiga oral huku mitihani ya written inasahihishwa kwahio nadhani mkeka wa kwenda kozi hautochelewa kutoka
 
Utaratibu wa kuingia kwenye writen interview ni mmoja mmoja au mnaingia woote Kwa pamoja ? Na vip kuhusu oral ni hivyo ama ...na interview ya siku mwisho sangapi
 
Written mnaingia wote kwenye ukumbi,then kila fani mnakaa kibangala chenu,

Halafu oral mnaingia kulingana na series iliopo kwenye ule mkeka wa majina...

Interview ni siku moja tuu inaisha ambapo inategemea na wingi wa watu wa siku hio mfano sisi watu wa mwisho kumaliza walimaliza saa12 hivi jioni ,

Na Ukimaliza oral unasepa tuu.....ko kadiri jina lako lilivo la mwanzoni kwenye mkeka ndivyo utavyowahi kuondoka zako...
 
Interview ni siku moja tuu inaisha,kila fani na siku yao..
Mungu awafanyie wepesi. Hivi safari hii kwenye oral lugha gani ilitumika, Kiswahili au lugha ya malkia?
 
Written mnaingia wote kwenye ukumbi,then kila fani mnakaa kibangala chenu,

Halafu oral mnaingia kulingana na series iliopo kwenye ule mkeka wa majina...

Interview ni siku moja tuu inaisha ambapo inategemea na wingi wa watu wa siku hio mfano sisi watu wa mwisho kumaliza walimaliza saa12 hivi jioni ,

Na Ukimaliza oral unasepa tuu.....ko kadiri jina lako lilivo la mwanzoni kwenye mkeka ndivyo utavyowahi kuondoka zako...
Nakubar kaka
 
Back
Top Bottom