Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,076
Interview ya kwanza hawaangalii ilo kwanza,wanacheki urefu,afya,apo mnaweza kimbizwa uzunguke uwanja mara kadhaa,ya pili ndio huwa wanacheki vingi ,na mnakua wengi maana inafanyika kimkoa au wilayaAlafu magereza kuna watu wameitwa interview ht vyeti vya jkt hawana aise
Hapo ndo wanapozingua sasa km.sio kuwasumbua watu ni ninunamuitaje MTU kweny usail wakt unajua hn sifaWameita hadi wasio na vigezo wengi, mfano usahili uliofanyika Jana Dodoma gereza la isanga wamerudishwa wengi sana yaan unaulizwa mwenyewe kama huna unatolewa kwa speed nyingi sana
Walifanya interview ya aina gani waliokuwa na vigezo ?Wameita hadi wasio na vigezo wengi, mfano usahili uliofanyika Jana Dodoma gereza la isanga wamerudishwa wengi sana yaan unaulizwa mwenyewe kama huna unatolewa kwa speed nyingi sana
Hapo Tanga mjin hata 50 hawafiki inamaana watu hawataki magereza au ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Msichague kazi aisee
Ni Wilaya ya Tanga mjini hio mkuu ndio leo wameitwa hata 50 hawafiki sijui shida niniSio kua wameshachujwa wilayani huko...maana naskia mchujo unaanza wilayani mkipita mnaenda mkoa
Ni Wilaya ya Tanga mjini hio mkuu ndio leo wameitwa hata 50 hawafiki sijui shida nini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni Wilaya ya Tanga mjini hio mkuu ndio leo wameitwa hata 50 hawafiki sijui shida nini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ofisi ya mkuu wa wilayaWamefanyia maweni..???
Hao lazima wateleze kiulaini.Duh noma sana...
Hamsini n wengi lzm wachujwe mn hawawez kuchukuliwa woteHao lazima wateleze kiulaini.
Na ktk hao kuna wengine wameenda tu hata simu hawajapigiwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
PGO haihusiki na Magereza bossUtaambiwa usome section 288 ya PGO, ukishindwa kazi huna.
Nyie mnaoenda kuwa mapoliccm jitahidini muijue PGO maana mpaka RPC haijui.
Hao lazima wateleze kiulaini.
Na ktk hao kuna wengine wameenda tu hata simu hawajapigiwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mamaeee maji yamezidi unga wahuni wako wanajadili kazi ya Magereza wanasahau huwa wanaiponda oooh kazi gani ya kulinda wafungwa askari mwenyewe anakuwa mfungwa.
Wekeni akiba ya maneno umbwa nyinyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kidogo hawatakuwa na ushindaniHamsini n wengi lzm wachujwe mn hawawez kuchukuliwa wote
Yap kweli kbs
Hata hivyo muitikio bado mdogo watu hawalipendi ktk interview zote magereza wana watu wachacheMamaeee maji yamezidi unga wahuni wako wanajadili kazi ya Magereza wanasahau huwa wanaiponda oooh kazi gani ya kulinda wafungwa askari mwenyewe anakuwa mfungwa.
Wekeni akiba ya maneno umbwa nyinyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asitufokee kokote kambi [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usitufokeee blaza punguza jazba
Hahaha acheni utanHata hivyo muitikio bado mdogo watu hawalipendi ktk interview zote magereza wana watu wachache
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app