Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Alafu magereza kuna watu wameitwa interview ht vyeti vya jkt hawana aise
Interview ya kwanza hawaangalii ilo kwanza,wanacheki urefu,afya,apo mnaweza kimbizwa uzunguke uwanja mara kadhaa,ya pili ndio huwa wanacheki vingi ,na mnakua wengi maana inafanyika kimkoa au wilaya
 
Wameita hadi wasio na vigezo wengi, mfano usahili uliofanyika Jana Dodoma gereza la isanga wamerudishwa wengi sana yaan unaulizwa mwenyewe kama huna unatolewa kwa speed nyingi sana
Hapo ndo wanapozingua sasa km.sio kuwasumbua watu ni ninunamuitaje MTU kweny usail wakt unajua hn sifa
 
Wameita hadi wasio na vigezo wengi, mfano usahili uliofanyika Jana Dodoma gereza la isanga wamerudishwa wengi sana yaan unaulizwa mwenyewe kama huna unatolewa kwa speed nyingi sana
Walifanya interview ya aina gani waliokuwa na vigezo ?

Au walipimwa tu ? Na walipimwa nini na nini ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Utaambiwa usome section 288 ya PGO, ukishindwa kazi huna.

Nyie mnaoenda kuwa mapoliccm jitahidini muijue PGO maana mpaka RPC haijui.
PGO haihusiki na Magereza boss
PGO ni Polisi huko
Magereza wana PSO na sheria zingine za nchi, za Kikanda na Kimataifa
 
Mamaeee maji yamezidi unga wahuni wako wanajadili kazi ya Magereza wanasahau huwa wanaiponda oooh kazi gani ya kulinda wafungwa askari mwenyewe anakuwa mfungwa.

Wekeni akiba ya maneno umbwa nyinyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usitufokeee blaza punguza jazba
 
Mamaeee maji yamezidi unga wahuni wako wanajadili kazi ya Magereza wanasahau huwa wanaiponda oooh kazi gani ya kulinda wafungwa askari mwenyewe anakuwa mfungwa.

Wekeni akiba ya maneno umbwa nyinyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hivyo muitikio bado mdogo watu hawalipendi ktk interview zote magereza wana watu wachache

Back
Top Bottom