Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
PT ndo nn au unakisudia police naskia kuna watu wengi walirudishwaDaah kuna wale wa PT wa online naona kama tumekatwa vichwa aisee sielew kabsaa hapa
Magereza majina waliotoa ni walioombea online au inakuaje ...maana ninao marafiki zangu kibao walipeleka maombi pale pale makao kwa mkono na majina yao hayajatokaDaah kuna wale wa PT wa online naona kama tumekatwa vichwa aisee sielew kabsaa hapa
Na wameshaanza kozi huko naskiaYaah namaanisha polisi kuna ambao tulifanya usahili mwezi wa 10 mwishon mpka leo majina hakuna
Yaap niliona juziNa wameshaanza kozi huko naskia
Magereza majina waliotoa ni walioombea online au inakuaje ...maana ninao marafiki zangu kibao walipeleka maombi pale pale makao kwa mkono na majina yao hayajatoka
Ivi magereza kuna posho ya taaluma wadau? Afu mishahara yao ipoje
Kwa fununu nilizozipata wiki mbili zilizopita ni kam ifuatavyo kuna dukuduku iliibuka kutoka juu kwamba kwanini hawa wapate nafasi kuingia kwenye hiki chombo na hawakupitia mafunzo ya jkt wakati tangazo la mwanzo lilihitaji wote wawe wamepitia mafunzo ya awali ya jkt kwasabb kuna watu wengine wenye fani walikosa nafasi baada ya usaili licha ya kuwa na vigezo ,ivyo basi majina ya hao wa online yaliwekwa pending kwanza ili kusubiri taarifa ama muongozo fulani kutoka juu kama watakubaliana basi ndio wawaruhusu kwenda chuoni ccp kuriportDaah kuna wale wa PT wa online naona kama tumekatwa vichwa aisee sielew kabsaa hapa
Daah kumbe inshu ipo hivi basi hapa maombi yanahitajika snaa maana watu tulia min hii sehem yakulitumikia jeshi letu kama kweli Mungu alipanga basi tutakwenda AmenππKwa fununu nilizozipata wiki mbili zilizopita ni kam ifuatavyo kuna dukuduku iliibuka kutoka juu kwamba kwanini hawa wapate nafasi kuingia kwenye hiki chombo na hawakupitia mafunzo ya jkt wakati tangazo la mwanzo lilihitaji wote wawe wamepitia mafunzo ya awali ya jkt kwasabb kuna watu wengine wenye fani walikosa nafasi baada ya usaili licha ya kuwa na vigezo ,ivyo basi majina ya hao wa online yaliwekwa pending kwanza ili kusubiri taarifa ama muongozo fulani kutoka juu kama watakubaliana basi ndio wawaruhusu kwenda chuoni ccp kuriport
Asante sana Kwa ufafanuzi kama Mungu alipanga twende tutaenda Kwa uweza wake πππ₯Kikubwa wale wa online wawe na subira tu lolote linaweza kutokea either likawa lenye kuleta matumaini kwao au lenye kuvunja moyo maana siku hizi siasa imetapakaa kila sehemu na kila mkubwa anatetea upande wenye unafuu kwake
Jana hakukua na usaili, nadhani ni leo wanamaliziaVipi wakuu....walieenda usaili jana mambo yalikuaje..?
Hv humu kuna mtu alituma maombi kwa njia ya ems na kaitwa kwenye usaili??Ni ngumu kufahamu labda kama una rafiki unaemjua kua hajaja mfano mimi yupo rafiki angu hakuja
Wapo wengi tu wameitwa na walituma kwa njia ya emsHv humu kuna mtu alituma maombi kwa njia ya ems na kaitwa kwenye usaili??
Itategemea na mahali ulipo pia ukiwa magereza ya town, unajiendeleza vzr tu ,ila pia itategemea na mkuu wako ilipopangiwa nazani , hii mambo ya kujiendeleza ni personal ,unalo utajua unapapatuaje kujiendeleza ,..chamsingi pata kwanza mengine yatajulikana mbele ya safari broHivi wakuu issue ya kujiendeleza kielimu Magereza hawasumbui kutoa ruhusa.?