Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Daah kuna wale wa PT wa online naona kama tumekatwa vichwa aisee sielew kabsaa hapa
Magereza majina waliotoa ni walioombea online au inakuaje ...maana ninao marafiki zangu kibao walipeleka maombi pale pale makao kwa mkono na majina yao hayajatoka
 
Yaah namaanisha polisi kuna ambao tulifanya usahili mwezi wa 10 mwishon mpka leo majina hakuna
 
Magereza majina waliotoa ni walioombea online au inakuaje ...maana ninao marafiki zangu kibao walipeleka maombi pale pale makao kwa mkono na majina yao hayajatoka

IMG_2057.jpg

TANGAZO LAO LA AJIRA LILIKATAZA KUPELEKA KWA MKONO
Kwahio labda ndio maana hawakuitwa...
 
Nadhani haikukaa sawa ..kipengele cha wenye fani au taaluma hawakusema chochote
 
Daah kuna wale wa PT wa online naona kama tumekatwa vichwa aisee sielew kabsaa hapa
Kwa fununu nilizozipata wiki mbili zilizopita ni kam ifuatavyo kuna dukuduku iliibuka kutoka juu kwamba kwanini hawa wapate nafasi kuingia kwenye hiki chombo na hawakupitia mafunzo ya jkt wakati tangazo la mwanzo lilihitaji wote wawe wamepitia mafunzo ya awali ya jkt kwasabb kuna watu wengine wenye fani walikosa nafasi baada ya usaili licha ya kuwa na vigezo ,ivyo basi majina ya hao wa online yaliwekwa pending kwanza ili kusubiri taarifa ama muongozo fulani kutoka juu kama watakubaliana basi ndio wawaruhusu kwenda chuoni ccp kuriport
 
Kikubwa wale wa online wawe na subira tu lolote linaweza kutokea either likawa lenye kuleta matumaini kwao au lenye kuvunja moyo maana siku hizi siasa imetapakaa kila sehemu na kila mkubwa anatetea upande wenye unafuu kwake
 
Daah kumbe inshu ipo hivi basi hapa maombi yanahitajika snaa maana watu tulia min hii sehem yakulitumikia jeshi letu kama kweli Mungu alipanga basi tutakwenda Amen🙏🙏
 
Kikubwa wale wa online wawe na subira tu lolote linaweza kutokea either likawa lenye kuleta matumaini kwao au lenye kuvunja moyo maana siku hizi siasa imetapakaa kila sehemu na kila mkubwa anatetea upande wenye unafuu kwake
Asante sana Kwa ufafanuzi kama Mungu alipanga twende tutaenda Kwa uweza wake 🙏🙏😥
 
Hivi wakuu issue ya kujiendeleza kielimu Magereza hawasumbui kutoa ruhusa.?
 
Itategemea na mahali ulipo pia ukiwa magereza ya town, unajiendeleza vzr tu ,ila pia itategemea na mkuu wako ilipopangiwa nazani , hii mambo ya kujiendeleza ni personal ,unalo utajua unapapatuaje kujiendeleza ,..chamsingi pata kwanza mengine yatajulikana mbele ya safari bro
 
Back
Top Bottom