Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Hivi inachukua muda gani mtu kujiandaa kwenda mahali kozi inapotolewa baada ya Majibu ya kuitwa kwenye kozi kutoka...huwa wanatoa range ya muda gani from the release date to reporting date
 
IMG_3371.jpg

IMG_3370.jpg

POLISI WALITOA RANGE YA SIKU 4-10 KURIPOTI TOKEA SIKU MAJINA YAMETOLEWA

Ko nahisi hata magereza ni humohumo tuu,sababu muda umeshaisha January watu wanatakiwa waende kozi.
 
View attachment 2050021
View attachment 2050022
POLISI WALITOA RANGE YA SIKU 4-10 KURIPOTI TOKEA SIKU MAJINA YAMETOLEWA

Ko nahisi hata magereza ni humohumo tuu,sababu muda umeshaisha January watu wanatakiwa waende kozi.
Nimekuelewa mkuu na nimeuliza hivyo kupata makadirio ya magereza watatoa lini...kwahiyo nahisi magereza wataweza kutoa wiki hii kuanzia J5 au alhamisi
 
Kabisaa inaonekana hii week inayoanza kesho haiwezipita ili baada ya mwaka mpya watu waende kozi

—Simu hawaruhusu nadhani hadi magereza hawaruhusu wakiwa kozi, SIJUI WANAHOFIA VIJANA WASIJEPIGA PICHA MAENEO YA KAMBI LABDA.
 
—Simu hawaruhusu nadhani hadi magereza hawaruhusu wakiwa kozi
Nashukuru Sana kwa feedback naona nimepata overview kwa head somehow so shukran Sana🙏🏾✊🏽
 
Kabisaa inaonekana hii week inayoanza kesho haiwezipita ili baada ya mwaka mpya watu waende kozi

—Simu hawaruhusu nadhani hadi magereza hawaruhusu wakiwa kozi, SIJUI WANAHOFIA VIJANA WASIJEPIGA PICHA MAENEO YA KAMBI LABDA.
Lakini hawaruhusu inamana hata kufika sehem ya kozi hautakiwi kuwa nayo hiyo simu...means unaiacha somewhere unayojua wewe au ipo vipi hili swala?
 
Yan kitendo cha kufika getini usiwe na simu......

Kwa tetesi nlizopata wanadai kule chuo cha polisi moshi hadi laini wakikukuta ni shida (japo sina uhakika na hilo )
 
Back
Top Bottom