Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwanini Wana nyima watu kwenda na simu huko mafunzoni
Simu yanini???kama una Shida si kuna wakufunzi wako utawaeleza???

Wakati mwingine uraia wetu unachagizwa tusiruhusiwe Kwenda simu

Kupiga picha kuelezea mwenendo wa kozi kulialia Kwa baba nyumbani chakula cha kozi kibaya mazoezi magumu nk

Muda ukifika utatumia simu uraia ukishaondolewa
 
Kila kaz na changamoto, chamsingi malengo, mtu anaenda upolisi na plan A, ukiwa na plan B huwez kuona changamoto, kwan utafanya kaz kuanza plan B.
 
Simu yanini???kama una Shida si kuna wakufunzi wako utawaeleza???

Wakati mwingine uraia wetu unachagizwa tusiruhusiwe Kwenda simu

Kupiga picha kuelezea mwenendo wa kozi kulialia Kwa baba nyumbani chakula cha kozi kibaya mazoezi magumu nk

Muda ukifika utatumia simu uraia ukishaondolewa
Kazi kweli kweli mwendo wa minyoosho tu
 
Nadhani ni vitu vya kawaida na kwa kuwa ni kwa muda flani basi watakaobahatika wakavumilie warudi wamekula viapo vyao
Kwa kweli and I do believe hamna kinachoshindikana na wataweza vizuri kwani wengine wanaoweza huwa Wana nini na wao washindwe na nini.
 
Wakuu mmemsikia waziri wa mambo ya ndan jana kuhusu Jeshi la magereza kuitaj askar zaid ya kuliko idadi iliyotajwa ya Askar 700 kwan wengi waliokuwepo Wamepandishwa vyeo ivyo Askar wa kushinda na wafungwa magengeni shamban wamepungua saaaaana na isitoshe wengi wanaacha kwan wanasema kukaa na wafungwa mashamban na kuwalinda haina tofaut na askar nae kuwa kama mfungwa tu ivyo Watu wengi mwanzo kabla hawajaajiriwa wanakuwa na mawazo tofaut kuhusu kuwa askar magereza ila baada ya kupata kazi nakuona kaz ilivyo wanakuwa hawaipendi kazi tena.
Ivyo wanataka kuongea na Rais waone kama wataweza kuwaajir hata darasa la 7 na kama unamafunzo ya mgambo Kama Rais atakubal kwan form 4 nao Wamekuwa Morali na kazi wakifka kazn hawana tena....

Tupe evidence tuone maana hata mimi nimesikiliza sijasikia akizungumza hayo maneno
 
IMG_3588.jpg

IMG_3589.jpg

IMG_3590.jpg

IMG_3591.jpg

IMG_3592.jpg

IMG_3594.jpg

Zimamoto [emoji91]
 
Nimemuona jamaa yang mmoja boniphace Marwa kwenye Uzi🔥🔥🔥...saafiiii👏🏾👏🏾mzee
 
Mungu mwema hongereni wote wa zimamoto👏🏾👏🏾..na magereza Imani INAHITAJIKA soon naamin mzgo utakuw released
 
Na magereza watatoa soon nadhani hadi kufikia jumapili watakua tearii wametoa
 
Na magereza watatoa soon nadhani hadi kufikia jumapili watakua tearii wametoa
Usahili wa zimamoto na magereza walipishana siku ngapi?!! ndo yaweza ikawa ratio hiyo hiyo ya kupishana kw mkeka pia....ni mawazo yangu nafkr hvyo
 
Usahili wa zimamoto na magereza walipishana siku ngapi?!! ndo yaweza ikawa ratio hiyo hiyo ya kupishana kw mkeka pia....ni mawazo yangu nafkr hvyo

IMG_3612.jpg

IMG_3613.jpg

Zimamoto waliita usaili TAREHE 24-27 NOVEMBER

Magereza waliita usaili TAREHE 2-6. DECEMBER

nadhani hapo tofauti ni 1 week kama sijakosea
 
Ila nadhani hawatochukua muda mrefu maana siku ile ilikua watu wanaingia kwenye oral huku mitihani ya written inasahihishwa ko naamin soon nao watatoa tuu mkeka
 
Back
Top Bottom