Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magereza wao hawaongezi watu kama Uhamiaji?
Hivi wadau kutuma nyaraka kwa njia ya posta huwa ina cost kiasi gani ?
Sawa kakaEms...15000/=
ile njia ya kupima kwa mzani nadhani ni 1800 kama sijakosea japo inategemea na uzito wa mzigo..
Buloo lazima uende KIWIRA kwa jina la Yesu Kristu!!Hivi ile kozi kule kiwira inaisha lini wakubwa
Maana duh [emoji849]
Inasemekana mwezi huu katikati au mwishoni kabisaHivi ile kozi kule kiwira inaisha lini wakubwa
Maana duh [emoji849]
Inasemekana mwezi huu katikati au mwishoni kabisa
Buloo lazima uende KIWIRA kwa jina la Yesu Kristu!!
Naona unapambana Sana kitaa hakufahi buloo
Bora wangetoa tujuage mapema hata wakiweka kwend mwezi wa pili ila unakua mtu ushajua direction
Hivi polisi wanaweza kurudi kama magerezaYan wenzetu walioenda polisi sahv wanahesabu miezi tuu kozi iishe duuh
Hivi polisi wanaweza kurudi kama magereza
Kwahyo wanaweza toa nafasi tenaPolisi watawahi kumaliza kozi kuliko wote
Kwahyo wanaweza toa nafasi tena