Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

IMG_5091.jpg
 
Wakuu naombeni munieleweshe kwa anaefahamu......

HIVI INAWEZEKANA UKAWA USALAMA WA TAIFA KUTOKEA ASKARI MAGEREZA.???[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Absolutely. Utaendelea tu kufanya kazi kama askari magereza wa kawaida, huku ni agent wa TISS kwa siri. Ipo hivyo sio tu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama, bali hata kwenye mamlaka za kiraia pia.
 
Polisi watawahi kumaliza kozi kuliko wote
Polisi wamewahi kuanza mafunzo mtawakuta na kuwaacha.Mzigo wa polisi ni miezi 9 ila magereza ni miezi 6 pia kuna mtaala umeongezeka katika mafunzo ya polisi hivyo yamkini wakapiga mwaka 1 ijapokuwa sina uhakika sana.
 
Duuuuh aiseeeeeeee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Absolutely. Utaendelea tu kufanya kazi kama askari magereza wa kawaida, huku ni agent wa TISS kwa siri. Ipo hivyo sio tu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama, bali hata kwenye mamlaka za kiraia pia.

shukran mkuu kwa ufafanuzi[emoji120]
 
Sema maafande ni wasiri sana duh [emoji849],unakuta unamuuliza afande yupo palepale dodoma makao makuu ya magereza nae hajui mkeka unatoka lini [emoji38][emoji38]

Kakusaidia saaaana atakwambia KUWA NA SUBRA
 
Askari alieiva lazima ajue kutunza SIRI!!

Pale PHDQ vitengo ni vingi sana na Kila kitengo kina mishe zake tu!!
 
Kumbe wengine mna connection hadi makao makuuu

Hilo mbona ni jambo la kawaida sana mkuu.....sababu hata hao wanaofanya kazi makao makuu ni binaadamu pia wana ndugu,marafiki,majirani na watoto pia ambao wanazitaka pia hizo nafasi
 
Askari alieiva lazima ajue kutunza SIRI!!

Pale PHDQ vitengo ni vingi sana na Kila kitengo kina mishe zake tu!!

Mkuu hivi inawezekana mfano nikaingia magereza na fani flani ila nikaamua kubadilisha fani kwenda kujiendeleza kwa taaluma nyengine.??

Na vipi kuhusu ruhusa za kwenda kusoma hawasumbui hawa jamaa..!

Halafu kuna uhusiano wa kupanda vyeo na elimu..? Mfano yan wanaopanda vyeo ni wale wenye degree na kuendelea.??

Hebu nifafanulie hapo kama una uelewa nahayo....,HATA YEYOTE ANAEELEWA ANIPE SHULE HAPO
 
Back
Top Bottom