6akn1n2
New Member
- Dec 22, 2021
- 4
- 0
Ila nadhani hawatochukua muda mrefu maana siku ile ilikua watu wanaingia kwenye oral huku mitihani ya written inasahihishwa ko naamin soon nao watatoa tuu mkeka
27th Dec Maybe[emoji317]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nadhani hawatochukua muda mrefu maana siku ile ilikua watu wanaingia kwenye oral huku mitihani ya written inasahihishwa ko naamin soon nao watatoa tuu mkeka
Bado Kuna kundi halijatoka shimoni!?Naskia kozi inayoendelea huko chuoni Kiwira itaisha mwezi wa kwanza katikati... Ko tusitegemee majina hivi karibuni, labda hadi mwezi wa kwanza huko
Eeeh naskia Kuna kozi ya uongozi koplo au sajenti inaendelea hukoBado Kuna kundi halijatoka shimoni!?
Sizan kama wiki hii itaisha lazma watatoa
............
Kwema humu ndani jamanii!
VIP pcccb bado hawajafanya jambo lao ?
Yuko kwenye ziara sehemu gani?Ipo hivi mkeka magereza teari kila kitu umeshaandaliwa ila wanamsubir mkuu wa jeshi la magereza suleiman mzee arudi ziaran akague ndio waachie
Dadaeki WATU elfu 12 mia 3 na 77 wameitwa sio poa aiseeView attachment 2061628PCCB [emoji276]
Miezi 6 Hadi 8Wakuu hivi kozi ya magereza ni miezi mingap kwa anaefahamu naomba anijuze
Na wao wanataka wangapiDadaeki WATU elfu 12 mia 3 na 77 wameitwa sio poa aisee
200Na wao wanataka wangapi
***** yaani kutoka watu 12000 wapatikane 200 [emoji2].
Kwanini ukate tamaa mzee baba! Kwenye hao 200 yawezekana wewe ni mmojawapo! #Marufuku kukata tamaa [emoji123][emoji123]***** yaani kutoka watu 12000 wapatikane 200 [emoji2].
Daah sema watu wana moyo aisee mi sichomi nauli napiga as where tungeitwa 400 ningesema kidogo kuna fighting chance