Sawasawa mzee nimekuelewa vizuri Sana... nashukuru 🙏🏾Yan kitendo cha kufika getini usiwe na simu......
Kwa tetesi nlizopata wanadai kule chuo cha polisi moshi hadi laini wakikukuta ni shida (japo sina uhakika na hilo )
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa mzee nimekuelewa vizuri Sana... nashukuru 🙏🏾Yan kitendo cha kufika getini usiwe na simu......
Kwa tetesi nlizopata wanadai kule chuo cha polisi moshi hadi laini wakikukuta ni shida (japo sina uhakika na hilo )
Simu haziruhusiwi kwa sababu nyingi sana. Hizi ni baadhi tu [emoji116][emoji116]
[emoji117]Kutoa taarifa ya kinacho endelea chuoni.(umbeya jeshini hautakiwi)
[emoji117]Kukuepusha wewe morali isije ikakata endapo utapewa taarifa ya kifo cha mtu wako unaye mpenda kutoka nyumbani. Ndugu, mzazi, mpenzi, rafiki n.k
[emoji117]Kuruta hutakiwi kujua kinacho endelea huku uraiani.
[emoji117]Simu itaku keep bize ushindwe kufanya kazi za watu ipasavyo.
[emoji117]Kuna siku utampigia simu Mzazi au mpenzi wako ukimuelezea shida na magumu unayo pitia huko chuoni kwenye mafunzo ya kijeshi. Kwa huruma yake anaweza kukushawishi utoroke uache mafunzo ili usiendelee kuumia huku akisahau ili mwanae au mpenzi wake aitwe askari ni lazima apitie hayo anayo yapitia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Mafunzo ya kijeshi hayajawahi kuwa raisi hata yakifanyikia sebuleni milio lazima isikike na lazima utoke kamanda.
Tukutane 2022.
View attachment 2050157
Yes nimeona kwenye Hilo tangazo la kuitwa policeSimu kumbe hazruhusiwi kwenda nazo????
Anha maybe hata magereza let's see..but I don't know why ipo hvyoYes nimeona kwenye Hilo tangazo la kuitwa police
Dah mbona matesoSimu haziruhusiwi kwa sababu nyingi sana. Hizi ni baadhi tu [emoji116][emoji116]
[emoji117]Kutoa taarifa ya kinacho endelea chuoni.(umbeya jeshini hautakiwi)
[emoji117]Kukuepusha wewe morali isije ikakata endapo utapewa taarifa ya kifo cha mtu wako unaye mpenda kutoka nyumbani. Ndugu, mzazi, mpenzi, rafiki n.k
[emoji117]Kuruta hutakiwi kujua kinacho endelea huku uraiani.
[emoji117]Simu itaku keep bize ushindwe kufanya kazi za watu ipasavyo.
[emoji117]Kuna siku utampigia simu Mzazi au mpenzi wako ukimuelezea shida na magumu unayo pitia huko chuoni kwenye mafunzo ya kijeshi. Kwa huruma yake anaweza kukushawishi utoroke uache mafunzo ili usiendelee kuumia huku akisahau ili mwanae au mpenzi wake aitwe askari ni lazima apitie hayo anayo yapitia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Mafunzo ya kijeshi hayajawahi kuwa raisi hata yakifanyikia sebuleni milio lazima isikike na lazima utoke kamanda.
Tukutane 2022.
View attachment 2050157
Mateso bila chukiAnha maybe hata magereza let's see..but I don't know why ipo hvyo
😃😃HatariMateso bila chuki
Kuishi bila simu au mawasiliano dunia ya Sasa ni ngumu mno[emoji2][emoji2]Hatari
Anza kutembea kwa ngumi kwenye mchanga kabla hujatembea kwa ngumi kwenye rafu ya uwanja wa damu ili uchubuke, utoke damu, vidonda vipone na kuwa sugu kutengeneza mikono yenye nguvu, nakoz na ngumi jiweDah mbona mateso
Anza kutembea kwa ngumi kwenye mchanga kabla hujatembea kwa ngumi kwenye rafu ya uwanja wa damu ili uchubuke, utoke damu, vidonda vipone na kuwa sugu kutengeneza mikono yenye nguvu, nakoz na ngumi jiwe
Hatakama ukiwa nayo depo, hutapata muda wa kuishika wala kuitamani. Ukipata free time unakoroma iwe barabarani au hata chooni kabla filimbi haijalia au bigulaKuishi bila simu au mawasiliano dunia ya Sasa ni ngumu mno
Jitahidi isiwe ngumu pale inapobidi ufanye hvyo..Mana hakuna Namna ni kwa muda tuKuishi bila simu au mawasiliano dunia ya Sasa ni ngumu mno
😃😃Vijana🙌🏼🙌🏼🙌🏼hatariAnza kutembea kwa ngumi kwenye mchanga kabla hujatembea kwa ngumi kwenye rafu ya uwanja wa damu ili uchubuke, utoke damu, vidonda vipone na kuwa sugu kutengeneza mikono yenye nguvu, nakoz na ngumi jiwe
Mbona ni mateso sana haya mambo aisee, Yani nitembee kwenye rafu Ili nichubuke ndio nionekane mkakamavuAnza kutembea kwa ngumi kwenye mchanga kabla hujatembea kwa ngumi kwenye rafu ya uwanja wa damu ili uchubuke, utoke damu, vidonda vipone na kuwa sugu kutengeneza mikono yenye nguvu, nakoz na ngumi jiwe
Hivi huko kumbe huwa Kuna mazoezi makali kiasi hicho, kwahyo hata mda wa kulala ni mdogo na kuamshwa kwa filimbi?Hatakama ukiwa nayo depo, hutapata muda wa kuishika wala kuitamani. Ukipata free time unakoroma iwe barabarani au hata chooni kabla filimbi haijalia au bigula
Uzuri ni for a short timeJitahidi isiwe ngumu pale inapobidi ufanye hvyo..Mana hakuna Namna ni kwa muda tu