Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwn information hzo mmezipata wap wenzetu wakati mkeka bado haujasoma jaman???
Ndoa maana nmeamua kumuuliza kama ana data ya hiyo information kuhusu idadi in general....kwasababu ameweza kutoa wastani ya waliochaguliw weng kuwa ni kilimo....kwahyo kuhusu taarifa au data hzo kazipata wap ngoja aje atujibu yeye binafsi
 
Wamechukua watu wangapi idadi in general kama unayo taarifa Ya hiyo data

Kwa watu wenye taaluma wamechukuliwa kiujumla total ni 100......

Afya ndio najua idadi waliochukuliwa ni 15.....katika hao 15 clinical Officer ni 7 tuu...

Ila kilimo ndio nimeambiwa wamechukuliwa wengi kuliko wote ...sijatajiwa idadi
 
Watu 100 na hivi usahili walikuwa idadi kiasi gani kwa wenye taaluma?

Kuhusu professional ya Land surveyors wao idadi Yao ni wangap kama unayo lonja ya hiyo pia
 
Idadi ya waliofanya usaili total ni 560
 
Ni mwezi mmoja na siku mbili sasa tangia tarehe ya mwisho ya interview..
Magereza wamevuta kushinda hata PSRS
 
Naombeni munieleweshe ....hivi wale wasemaji wa jeshi wanakua wamesomea taaluma gani wale

Kwa anaefahamu wakuu[emoji120]
 
Kwa watu wenye taaluma wamechukuliwa kiujumla total ni 100......

Afya ndio najua idadi waliochukuliwa ni 15.....katika hao 15 clinical Officer ni 7 tuu...

Ila kilimo ndio nimeambiwa wamechukuliwa wengi kuliko wote ...sijatajiwa idadi
Wengi kuliko wote?
 
Back
Top Bottom