Mkeka ukitoka tusanuane
Pengine bajeti haitoshi wamepunguzaMbona yapoa mia tano na walitaka mia 7
Kaka yan hatariQumamaae nikatafute shughuli ya kufanya [emoji1787][emoji1787]
Sema ukimiss kuajiriwa hii awamu ya mama sa sijui utaajiriwa na nani tena hapo ukute age imeenda
Daah yaani mkuu nikikumbuka nilivyopoteza mwendo na gharama yaani najichekea tuKaka yan hatari
Hongera sana kiongoziFeedback; Nimebahatisha wakuu... Tukutane Kiwira, ndugu yetu Geneous vp?
Hongera mkuuMungu mkubwa hatimae na mimi nimebahatika kupata nafasi.
Thanks GOD [emoji120][emoji120] nimepambania sana hii nafasi
Hongera kiongozi safi usiende kuzembea hukoMungu mkubwa hatimae na mimi nimebahatika kupata nafasi.
Thanks GOD [emoji120][emoji120] nimepambania sana hii nafasi
Shukrani mkuuHongera sana kiongozi