Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,180
- 2,083
Apo ndio uchawi Sasa[emoji1787][emoji1787]Ujuzi wanaoutaka ni wa udereva wa trekta …ila jaribu bahati yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo ndio uchawi Sasa[emoji1787][emoji1787]Ujuzi wanaoutaka ni wa udereva wa trekta …ila jaribu bahati yako
Samahani Na wanareport kambi gani kaka hiyo ?Kaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.
Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.
Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
vp uhamiaji wakuu hawarudi tena kuchukua watu?nawakubali sana hawa jamaaKaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.
Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.
Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
Madaktar gani tena poti mbona mbanga ulinpa lonja mwez wa 7 ndo wanatujia madaktareKaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.
Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.
Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
Ni madaktari na mainjinia walianza kuripot tokea wiki iliyopita makutupora jkt but had now hata 100 hawajafikaKaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.
Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.
Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
Msata na oljoro kwote wapoJamani vipi kuhusu tpdf nako kuna ambao wapo kozi
[emoji3][emoji38][emoji38]mbanga kwel huo? haya but zimebaki siku tatu za kuripotiMadaktar gani tena poti mbona mbanga ulinpa lonja mwez wa 7 ndo wanatujia madaktare
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Duuuuh hata mia hawajafika hii inamaana gani ..wasomi wengi hawapendi majeshi au ni vipiNi madaktari na mainjinia walianza kuripot tokea wiki iliyopita makutupora jkt but had now hata 100 hawajafika
Hivi hawafanyi hata interview inamaana au mn kuna rafiki yangu pia ye n mechanical engineer yupo pale tangu Jana kalipotiNdio kaka,Wasomi wengi hasa hasa mainjinia na madaktari hawapendi msoto wa sijui jeshini labda kwa TISS wanapapenda.
Kwa mfano kwa madaktari wanasikilzia ajira za serikalini za juzi kati walizo apply na wanaogopa msoto wa kule jeshini ndo maana hawataki.
Na kwa mainjinia wako hivyo hivyo wanaamini mtaani mishe zipo nyingi tu watatoboa kuliko kwenda huko kuishi kwa amri.
Si unajua wote hao wanajiamini kuwa wana akili.
Imagine kwenye kundi la watu 1500 lakini hadi jana jioni walikuwa 70 may be leo watakuwa wameongezeka ila sidhani kama watakuwa wamefika hata 200.
Ila tungekuwa tumepata sisi watoto wa mbwa,wangetupunguza wenyewe.
Hapo ndio faida ya PCM,PGM,PCB na CBG inaonekana.
NB.
Maana intake hii ni ya SPECIAL GROUP ambao ni mainjinia na madaktari tu hakuna watu wengine.(Na wenye diploma wenye fani hizo pia wapo)
Hao ni in service sio?Ni madaktari na mainjinia walianza kuripot tokea wiki iliyopita makutupora jkt but had now hata 100 hawajafika
Sjaelewa poti wanaenda kuripoti wapi?Hivi hawafanyi hata interview inamaana au mn kuna rafiki yangu pia ye n mechanical engineer yupo pale tangu Jana kalipoti
Wanaripoti makutupola jkt aise
Wanaenda tu au utaratbu upoje?Wanaripoti makutupola jkt aise
Waruhusu tu na form four km.wasipotimia[emoji3][emoji38][emoji38]mbanga kwel huo? haya but zimebaki siku tatu za kuripoti
Poti wanaoripoti wanaripoti kutokea mtaani au makambini?Jeshini hakuna interview za masomo ni maswali ya kawaida tu kujilidhisha kwamba mwenye hivyo vyeti ni wewe.
Zaidi wanaangalia physical fitness yako na mambo mengine kama macho,kama una alama mwilini na n.k
Kumbuka huyo rafiki yako this time tomorrow atakuwa anaapa mbele ya Mama Samia maana hawa wameitwa na JWTZ sio JKT.
Yani upo tu unapigiwa simu na wakuu hata kama hautaki?Wamepigiwa simu na makao makuu
EBU NIONDOE UTATA KIDOGO,YANI IPO HIVI HAO WANAORIPOTI JWTZ WALIWAANDIKISHA TANGU MWAKA JANA VYUONI KABISA HATA RAFIKI YANGU MIMI ALIKUWA MUST MBEYA KWA FANI YA MECHANICAL ENGENEER KWAIO JANA NDO KAPIGIWA SIMU KUWA ALIPOTI MAKUTUPOLAYani upo tu unapigiwa simu na wakuu hata kama hautaki?
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Apo nmekuelewa mkuu kwa hio hao ni watu waoEBU NIONDOE UTATA KIDOGO,YANI IPO HIVI HAO WANAORIPOTI JWTZ WALIWAANDIKISHA TANGU MWAKA JANA VYUONI KABISA HATA RAFIKI YANGU MIMI ALIKUWA MUST MBEYA KWA FANI YA MECHANICAL ENGENEER KWAIO JANA NDO KAPIGIWA SIMU KUWA ALIPOTI MAKUTUPOLA
Mimi sjapigiwa nataka nijitose keshoKama unapenda jeshi unaenda mzee,ila kama hutaki sio lazima uende.
Jeshi sio lazima kaka hata kama umepigiwa simu na Mh.Mabeyo.