Msaada interview za Jeshi la Magereza

Jamani vipi kuhusu tpdf nako kuna ambao wapo kozi
 
Kaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.

Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.

Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
Samahani Na wanareport kambi gani kaka hiyo ?
na kwa maana hiyo ni fani au ujuzi maalumu tu
 
Kaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.

Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.

Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
vp uhamiaji wakuu hawarudi tena kuchukua watu?nawakubali sana hawa jamaa
 
Kaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.

Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.

Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
Madaktar gani tena poti mbona mbanga ulinpa lonja mwez wa 7 ndo wanatujia madaktare

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Kaka wameanza kuripoti leo mwisho wa kuripoti ni Jumapili. Ni Special Group wame contain mainjinia na madaktari tu.

Wanatakiwa 1500 tu. Ila walioripoti mpaka sasa nusu hawajafika.

Ila kuna wengine wapo Oljoro wanaendelea na Kozi sasa hivi.
Ni madaktari na mainjinia walianza kuripot tokea wiki iliyopita makutupora jkt but had now hata 100 hawajafika
 
Duuuuh hata mia hawajafika hii inamaana gani ..wasomi wengi hawapendi majeshi au ni vipi
 
Hivi hawafanyi hata interview inamaana au mn kuna rafiki yangu pia ye n mechanical engineer yupo pale tangu Jana kalipoti
 
Poti wanaoripoti wanaripoti kutokea mtaani au makambini?

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Yani upo tu unapigiwa simu na wakuu hata kama hautaki?

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
EBU NIONDOE UTATA KIDOGO,YANI IPO HIVI HAO WANAORIPOTI JWTZ WALIWAANDIKISHA TANGU MWAKA JANA VYUONI KABISA HATA RAFIKI YANGU MIMI ALIKUWA MUST MBEYA KWA FANI YA MECHANICAL ENGENEER KWAIO JANA NDO KAPIGIWA SIMU KUWA ALIPOTI MAKUTUPOLA
 
Apo nmekuelewa mkuu kwa hio hao ni watu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…