Msaada interview za Jeshi la Magereza

Nenda kajaribu bahati yako ila kuna watu kibao tokea juzi walikuwa wanashinda nje ya makao makuu Dom kuomba wahulumiwe mtaani pagumu ila kilichowakuta wanajua wenyewe.

Ww nenda halafu utakuja kutuhadithia yaliyojili
Mmeanza tena kututia nyembe
 
Kuna jamaa etu kwel wa Lab ameitwa aisee

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Inavyoonekana kuna watu wataingizwa kufidia idadi hata form six hasa PCM PCB PGM CBG CBA CBN au wenye certificate na mafundi
 
Form four wasahau ilo bogi ila kwenye michongo kila kitu chawezekana
 
Kaka apo ukipata connection unapita hata kama haujasimea eng na afya niachoona apo ata Kuna watu wataenda fidia hizo nafasi hasa kuanzia six na certificate muhimu au diploma
 
Hivi Tiss wanataka ma injinia na ma doctor nao ndio maana wamepita vyuoni ?

Ina maana mtaani hawapiti ?
 
Kaka apo ukipata connection unapita hata kama haujasimea eng na afya niachoona apo ata Kuna watu wataenda fidia hizo nafasi hasa kuanzia six na certificate muhimu au diploma
Mmh sidhani kama ni rahisi kiongozi wale watu wanaenda kwa maelekezo kama ni enginer na afya basi ni injinia na afya

Watafidia nafasi kama iwapo watapewa ruhusa
 
Kuna jamaa etu kwel wa Lab ameitwa aisee

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Kama kareport tayari jaribu kumpigia umuulize vipi wanaofia hapo tokea mtaani ambao hawakuitwa na JWTZ vipi wanaruhusiwa kujoin au vipi ?

Au yeyote ambaye ana mtu ambaye Kesha report tayari amuulize halafu share nasi hapa tuangalie uwezekano WA kuunga tela
 
Simu yake haipatikani
 
Ndugu huko unaenda tu kureport bila kuitwa? Au ndo unapeleka cv zako? Naomba nijuze Ndugu yangu
 
Ndugu huko unaenda tu kureport bila kuitwa? Au ndo unapeleka cv zako? Naomba nijuze Ndugu yangu
Wewe uende Tu bila kuitwa jmn umeona wapi mwee ivi unaanzaje [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…