Ndio kaka,Wasomi wengi hasa hasa mainjinia na madaktari hawapendi msoto wa sijui jeshini labda kwa TISS wanapapenda.
Kwa mfano kwa madaktari wanasikilzia ajira za serikalini za juzi kati walizo apply na wanaogopa msoto wa kule jeshini ndo maana hawataki.
Na kwa mainjinia wako hivyo hivyo wanaamini mtaani mishe zipo nyingi tu watatoboa kuliko kwenda huko kuishi kwa amri.
Si unajua wote hao wanajiamini kuwa wana akili.
Imagine kwenye kundi la watu 1500 lakini hadi jana jioni walikuwa 70 may be leo watakuwa wameongezeka ila sidhani kama watakuwa wamefika hata 200.
Ila tungekuwa tumepata sisi watoto wa mbwa,wangetupunguza wenyewe.
Hapo ndio faida ya PCM,PGM,PCB na CBG inaonekana.
NB.
Maana intake hii ni ya SPECIAL GROUP ambao ni mainjinia na madaktari tu hakuna watu wengine.(Na wenye diploma wenye fani hizo pia wapo)