Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Tiss zikitoka nyie tushtueni watu wazito ikiwezekana mtupe hata na mbanga wadauMtaani utachomekwa kama una mbuyu unajuana nao ambao uko mzigoni TISS . Au kama unajuana na RC au wafia dini wa chama hao ni rahisi kukuchomeka.
Kujisogeza unaweza jisogeza lakini uwe una diploma ya udaktari au engeneer mn hakuna form four hukoWatu wanashindwa kuelewa watu wameitwa wamepigiwa simu walifatwa vyuoni kuchukuliwa
Ila kama mkuu hapo juu alivyosema wapo waliojisogeza magetini [emoji2]
Ni wewe tu na nguvu na ujasiri wako
[emoji38][emoji38] Ntaenda kuangalia hapo getin wanao taka jeshi watavofundishwa jeshi kwa dakika chache na kurud hom wakiwa wanajeshi tayariKujisogeza unaweza jisogeza lakini uwe una diploma ya udaktari au engeneer mn hakuna form four huko
Kajaribu ila kiusalama wao ni mbaya maana wao walienda kuricruit watu wao wanaowataka halafu wewe ujipeleke tuu pale kuwa na ww unataka wataaminije kama wewe sio mtu mbaya kwao na taarifa imekufikiaje wakati wao hawajatangaza so lazima wakushikilie kidogo kabla hawaja kuacha urud nyumbani kwaamaniPoa , vipi lakini mjuba ?, Unaonaje tuibuke hivyohivyo Makutupola au ? , Unaweza kuta njemba zinachukuliwa hapo hapo getini Mzee , nchi ngumu Sana hii
Doso la maana halafu unarudi homeKajaribu ila kiusalama wao ni mbaya maana wao walienda kuricruit watu wao wanaowataka halafu wewe ujipeleke tuu pale kuwa na ww unataka wataaminije kama wewe sio mtu mbaya kwao na taarifa imekufikiaje wakati wao hawajatangaza so lazima wakushikilie kidogo kabla hawaja kuacha urud nyumbani kwaamani
Kujisogeza inabidi ujitoe akiliKujisogeza unaweza jisogeza lakini uwe una diploma ya udaktari au engeneer mn hakuna form four huko
Kikubwa ni kuandaa nguvu za kutosha tu na anywe maji mengi moyo uelee[emoji23][emoji23]Doso la maana halafu unarudi home
Ile mujibu wa sheria tulivyoitwaga kuna watu walikua wanareport bila kuitwa basi tulikua tunawaona kma wajinga ila walikua wanapokelewa...but hii ni case nyingine ngja akapigwe dosoKweli kitaa kigumu aisee. Yaani mtu anataka kwenda kiripoti kambini bila kuitwa!Sasa sijui akifika getini atasemaje pale. Kwamba jambo Afande ndiyo na mimi nimekuja kuripoti. Wanaweza wakadhani chizi
Ile mujibu unadumbukia haina shida.Ile mujibu wa sheria tulivyoitwaga kuna watu walikua wanareport bila kuitwa basi tulikua tunawaona kma wajinga ila walikua wanapokelewa...but hii ni case nyingine ngja akapigwe doso
Mujibu anaenda yeyote hata ukiwa na degree hata kama ni form 4 sio six lakin kwa kesi yao unaandika barua wanakubaliIle mujibu unadumbukia haina shida.
Omba bila fani kama udereva haunaFani wanayotaka udereva trekta jamani huu ujinga utaisha lini
Mwaka huu inshaalah tunaondoka kitaa mkuuNilikuwa nimekata tamaa ila bibi yangu ndio kanishawishi niombe hii sasa ni last Chance kwangu sijui aje nani kunibembeleza siombi tena hizi nafasi nikikosa mimi ndio bac aseee .