Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Watu wanashindwa kuelewa watu wameitwa wamepigiwa simu walifatwa vyuoni kuchukuliwa
Ila kama mkuu hapo juu alivyosema wapo waliojisogeza magetini [emoji2]

Ni wewe tu na nguvu na ujasiri wako
 
Hivi wakuu zile form za medical check up mnazipata kwa sh ngapi siku hizi

Mimi naenda natajiwa 5000 baadaye anajifanya anauliza wanasema 10000 nikaona wasengee hawa nikageuza [emoji2]
 
Watu wanashindwa kuelewa watu wameitwa wamepigiwa simu walifatwa vyuoni kuchukuliwa
Ila kama mkuu hapo juu alivyosema wapo waliojisogeza magetini [emoji2]

Ni wewe tu na nguvu na ujasiri wako
Kujisogeza unaweza jisogeza lakini uwe una diploma ya udaktari au engeneer mn hakuna form four huko
 
[emoji38][emoji38] Ntaenda kuangalia hapo getin wanao taka jeshi watavofundishwa jeshi kwa dakika chache na kurud hom wakiwa wanajeshi tayari
 
Jeshi ni maskini jeuri hata kama angeripoti mmoja kama jina lako halipo kwenye msurulu huwezi ingia pale zaidi ya kuulizwa nani alimpa hizo taarifa na vimazoezi vidogo vidogo
 
Poa , vipi lakini mjuba ?, Unaonaje tuibuke hivyohivyo Makutupola au ? , Unaweza kuta njemba zinachukuliwa hapo hapo getini Mzee , nchi ngumu Sana hii
Kajaribu ila kiusalama wao ni mbaya maana wao walienda kuricruit watu wao wanaowataka halafu wewe ujipeleke tuu pale kuwa na ww unataka wataaminije kama wewe sio mtu mbaya kwao na taarifa imekufikiaje wakati wao hawajatangaza so lazima wakushikilie kidogo kabla hawaja kuacha urud nyumbani kwaamani
 
Doso la maana halafu unarudi home
 
Kweli kitaa kigumu aisee. Yaani mtu anataka kwenda kiripoti kambini bila kuitwa!Sasa sijui akifika getini atasemaje pale. Kwamba jambo Afande ndiyo na mimi nimekuja kuripoti. Wanaweza wakadhani chizi
 
Ile mujibu wa sheria tulivyoitwaga kuna watu walikua wanareport bila kuitwa basi tulikua tunawaona kma wajinga ila walikua wanapokelewa...but hii ni case nyingine ngja akapigwe doso
 
Ile mujibu unadumbukia haina shida.
 
Fani wanayotaka udereva trekta jamani huu ujinga utaisha lini
 
Nilikuwa nimekata tamaa ila bibi yangu ndio kanishawishi niombe hii sasa ni last Chance kwangu sijui aje nani kunibembeleza siombi tena hizi nafasi nikikosa mimi ndio bac aseee .
 
Mwaka huu inshaalah tunaondoka kitaa mkuu
 
Back
Top Bottom