Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hivi Kwenye damu kuna chengine wanachoangalia zaidi ya homa ya ini na ukimwi ?Ngoja tusuburi kesho,wazalendo watatupa mrejesho,ila kwa usaili wa special course makao walikua wanapiga simu,na wanaamini simu kushinda pdf walizokua nazo,maana ukitokea mkanganyiko baadhi ya wadau walipigiwa simu ila kwenye mkeka wao majina hayakuepo,walichokifanya ulikua unaonyesha namba iliokupigia,then unaingia kuandikisha.
Tusuburi magereza,tuone watatumia mfumo gani.
Cha muhimu ni kutunza damu na kula karoti kwa wingi maana macho yanawatemaga wazalendo wengi.
Duuh ninavyotumia simu sasa inabidi nipunguze sasa sema situmii kwenye giza [emoji16].kupunguza matumizi ya simu katika giza
simu kwenye giza mwanga mkari halafu vile cm ni danger sana unazibwa jicho moja alafu maandishi yapo kama mita 5Duuh ninavyotumia simu sasa inabidi nipunguze sasa sema situmii kwenye giza [emoji16].
Nisije nikaenda kuharibu huko
Makutopora special case mkuuu wameanza kurudisha nyumban watu wamezid umrHapana,makao makuu hayapo uko,ila nilikua naelezea kwa uzoefu wangu,mfano wa usaili unaoendelea makutupola,hawakutoa PDF...walikua wanapiga simu tu
Tpdf Hawa PDF Kama Hawa police, uhamishaji na wengin kikubwa subira mkuuNgoja tusuburi kesho,wazalendo watatupa mrejesho,ila kwa usaili wa special course makao walikua wanapiga simu,na wanaamini simu kushinda pdf walizokua nazo,maana ukitokea mkanganyiko baadhi ya wadau walipigiwa simu ila kwenye mkeka wao majina hayakuepo,walichokifanya ulikua unaonyesha namba iliokupigia,then unaingia kuandikisha.
Tusuburi magereza,tuone watatumia mfumo gani.
Cha muhimu ni kutunza damu na kula karoti kwa wingi maana macho yanawatemaga wazalendo wengi.
lini hyo kozi ya ajira auMakutopora special case mkuuu wameanza kurudisha nyumban watu wamezid umr
Mita 5 sio mbali hata hivyosimu kwenye giza mwanga mkari halafu vile cm ni danger sana unazibwa jicho moja alafu maandishi yapo kama mita 5
Waliwaambia mwisho miaka mingapi ?Makutopora special case mkuuu wameanza kurudisha nyumban watu wamezid umr
jicho likianza ukungu mbari apo sheikhMita 5 sio mbali hata hivyo
Eeh....wameanzia wa 1993,ingawa wameambiwa waache majina..kukitokea chochote wataitwa.Makutopora special case mkuuu wameanza kurudisha nyumban watu wamezid umr
Eeh....wameanzia wa 1993,ingawa wameambiwa waache majinaMakutopora special case mkuuu wameanza kurudisha nyumban watu wamezid umr
Waliwaambia mwisho miaka mingapi
jicho likianza ukungu mbari apo sheikh
Kweli kabisa lonja muhimuUkiitwa kwenye usaili hakikisha unawaulizia watu walio pita kwenye kile kibao cha kupimia macho wakutajie herufi maana hawabadirishi....laah sihivyo,kitu kidogo kinaweza kukuferisha maisha,wee kaa mwishoni mwishoni ili ukifika ukitaja ata viherufi vi 3 wakuachie
jicho likianza ukungu mbari apo sheikh
Hicho kipimo nishakikumbuka tayari [emoji16] tulifanya jkt zimechorwa herufi herufi nyengine kubwa nyengine ndogo kama ni hicho utakuwa mzembe ukikatwa maana mnapanga mstari kwahyo mwenzako akionyeshwa herufi na fimbo unamskia na unaona kabisaWatu makutupora waliondoka na machovi na degree zao
Wameanza rudisha watu wa 1993 mchujo wa umri utakuwa unaendeleaWaliwaambia mwisho miaka mingapi ?
Mwezi Sasa wako dodoma kozi hawaj fungualini hyo kozi ya ajira au