Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Mbona haya mambo yanataka kuwa magumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....duh kama ni kweli umeitwa basi kazi ipo...
 
Umeambiwa usaili unafanyika wapi.?[emoji848]
Ukisoma vizuri tangazo ni kwamba maombi unatuma makao makuu ya Jeshi la Magereza au gereza ambalo upo karibu nalo na email zote waliweka mkuu
 
Form four na certificate ya enrolled Nurse

Kwanza magereza hawajataka wenye certificates....labda utuambie uliomba kama form 4 vinginevyo sio kweli kwa hivo unavosema umeitwa kama nurse
 
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Utaambiwa usome section 288 ya PGO, ukishindwa kazi huna.

Nyie mnaoenda kuwa mapoliccm jitahidini muijue PGO maana mpaka RPC haijui.
 
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Jitahidi ujue mwaka wa kuanzishwa jeshi la magereza

Majukumu ya jeshi la magereza

Kazi za askari magereza

Ujue kabla ya kuanzishwa jeshi la magereza ni jeshi gani lilikuwa linahifadhi wafungwa na mahabusu

Vyeo vya jeshi la magereza angalau kwa uchache

Uweze kulink Kati ya taaluma na vile jinsi unavyoweza kuitumia kuleta tija katika jeshi la magereza

Ujue angalau viongozi wachache waliowah kuongoza jeshi la magereza hasa wa karibuni

Ujue angalau Kirefu na maana ya PSO. Kwani ndo muongozo wa utendaji wa jeshi la magereza.

Fahamu current issues za kitaifa.
 
Kwanza magereza hawajataka wenye certificates....labda utuambie uliomba kama form 4 vinginevyo sio kweli kwa hivo unavosema umeitwa kama nurse
Mi niliomba kama form six pia niliitwa Jana kwa mkuu wa gereza ila tulikuwa tunapima urefu tu interview tumeambiwa itaanzia wilayan KT ya tarehe 17 au 18 duh sasa na form six hii cjui itakuwaje

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom