Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye fani mkuu.
Kuna nini hii tarehe13/10/2021
Mahali ambapo gereza linapatikana nilipotuma maombi.
Form four na certificate ya enrolled Nurse
Utaambiwa usome section 288 ya PGO, ukishindwa kazi huna.Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Jitahidi ujue mwaka wa kuanzishwa jeshi la magerezaHabari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Mi niliomba kama form six pia niliitwa Jana kwa mkuu wa gereza ila tulikuwa tunapima urefu tu interview tumeambiwa itaanzia wilayan KT ya tarehe 17 au 18 duh sasa na form six hii cjui itakuwajeKwanza magereza hawajataka wenye certificates....labda utuambie uliomba kama form 4 vinginevyo sio kweli kwa hivo unavosema umeitwa kama nurse
Mi niliomba kama form six pia niliitwa Jana kwa mkuu wa gereza ila tulikuwa tunapima urefu tu interview tumeambiwa itaanzia wilayan KT ya tarehe 17 au 18 duh sasa na form six hii cjui itakuwaje
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Watakuwa na majina yao tayari!Duh! Hongera mkuu, magereza mwisho wa kutuma maombi ilikua jana na leo wameshaita watu interview duh!!
majibu mnapewa siku hiyo hiyo.Hivi mkishafanya interview kwenye usaili majibu mnasubiri baada ya mda gani ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Baada ya interview hapo ukipita ndio mafunzo ?majibu mnapewa siku hiyo hiyo.