Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Ishu ni kwamba kiwira kuna kozi ya uongozi kwa sajenti wanamaliza mwezi huu kwaiyo ndomana wanavuta usaili mana bora kuchelewa usaili kuliko majibu ya usaili. Hiyo ndo taarifa wakuu
Mie nahisi issue sio kozi yao ya Kiwira ,,,itakuwa kuna namna ingine maana ni bora ujue upo au haupo kwenye usahili kuitwa Zen upige isikilize majibu ,maana umeshapita ....hii sintofahamu inafanya watu kuhisi juu kwa juu imepita au wameselect watu wanaowataka Zen watatoa majina watu wakutane Kiwira ,,kama jw inavyofanyaga kwa fm 6 usahili wao kuwahakiki tu Zen wanawaita ,au wanavyosomaga mabogi yao ya msata ,usahili unaenda kufanya vipimo na Uhakiki wa vyeti vyako ..... chochote cha weza tokea usahili au kusiwepo usahili wakaselect kwa watakaokuwa na bahati yao
 
Kwa asilimia 90 uko sahihi kabisa mkuu,nami pia nafikiria hiyo kozi ya kiwira Kama ndo sababu kwani hawakujua inachukua muda gani mpaka kufikia hatua kutuma tangazo lao la nafasi ya kazi ,wangekuwa Basi na subira wakangojea mpaka mwisho wa November hii ili kuruhusu maombi au kusubilia kabisa hiyo kozi ya kiwira ikate.hapa Kuna sintofahamu sio bure bure .
 
Kozi yenyewe naskia ni ya sgt ,,nasikia inamalizika trh 19 Nov hii ....SS mbona mikoani walishamaliza ,,,kwa kigezo cha kozi isiwe sababu ya vijana wenye vidploma na certificate mpka sahv kutokuitwa .....labda kama wameselect watu wao wanasubria kuachia pdf ya mikoa yote kuanzia wenye elimu mpka ,f4 mikoani
 
Kikubwa uvumilivu tu makamanda mengine yote waachiwe wao
 
Magereza aise wamebaki nyuma kwa kweli..Mana uhamiaji wapo chap na wametoa majina ya kuingia kazini baada ya kozi Yao wanayoanza December Tanga
 
Back
Top Bottom