Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Tpdf daah hawa jamaa

Mabeyo juzi kwenye kikao na raisi alimshukuru raisi kukubali ombi lao lakuajir askari wapyaa.......ndio tunasubir watangaze hizo nafasi japo tetesi zinasema tar23 mwez huu wanatoa [emoji2371][emoji2371]ngoja tuone...
 
Sio mujibu wa sheria kuripoti hyo trh 23 rts
 
MAGEREZA WAMEZINGUA SANA AISEE DAAAAH[emoji849][emoji849][emoji849]sijui shida nn yaan duhhh
 
Nguvu kivipi kaka.....ebu fafanua kidg apa
Mbanga mkuu / connection maana sehemu kubwa watachukuliwa wale waliojenga ikulu chamwino. Wengine walio vikosini 'wakujitolea' watakaobaki humo ndo connection na watakao bahatika kupenya Kihalali.
 
Wewe bado unawawaza hao wahuni wa mambo ya ndani? [emoji848] hao ni Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba. Watu tayari wana watu wao

Hahaha daah ni hatari sana mkuu....maana duh jw ndio baba K wakutoshaaa kulee
 
Mbanga mkuu / connection maana sehemu kubwa watachukuliwa wale waliojenga ikulu chamwino. Wengine walio vikosini 'wakujitolea' watakaobaki humo ndo connection na watakao bahatika kupenya Kihalali.

Sawa kaka ...ngoja tusubir tuone itavyokua
 
KUNA UWEZEKANO MAGEREZA WAKAENDA KOZI JANUARY KAMA ZIMAMOTO WATAKAVYOKWENDA

Lakini hii itatupa mwanya wakujaribu na huku jwtz pia,tuzidishe subra wakuu
 
Naomba niulize na ambae atakuwa amenielewa basi aweze kunijibu...ipo hivi "kupata nafasi Hadi ufanikiwe kujiunga jeshini inasemekana Hadi upite ngazi ya mitaa, Kata, wilaya Hadi mkoa sasa najiuliza kupita ngazi ya mitaa, Kata ,wilaya Hadi mkoa inaanza na process zipi Hadi useme umepita katika hizo ngazi????? na ukiangalia sikuhizi ni utaratibu wa ku apply tu kwa maombi ya ajira itakavyotoka na kutuma maombi" kama Kuna sehem nitakuwa sipo sahihi na mtu kuweka sawa zaidi basi ruksa kufanya hvyo..ila nahitaji ufafanuzi wa hili Jambo vzuri
 
"Kujiunga na Jeshi' kauli yako utata wake umeanzia hapo.

Neno Jeshi ni pana .. kuna jeshi la polisi, zimamoto, uhamiaji,magereza , jwtz, Jkt..

Kila kimoja wapo kina utaratibu wake katika kujiunga ila kiufupi majeshi yote hapo juu yapo wizara ya mambo ya ndani ukitoa (JWTZ na JKT haya yapo wizara ya ulinzi).

Hayo ya mambo ya ndani utaratibu huwa wa kituma maombi kama kilichofanyika majuzi hapa.

JKT na Jwtz ndipo swali lako limejikita nadhani .. kupita ngazi za mtaa ni raia anayependa kujiunga mafunzo ya JKT hivyo lazima utambulisho wake wa kimakazi utambulike katika serikal za mitaa.. mwenyeki / diwan wako lazima akupe barua ya kukutambulisha ngazi za juu kuwa bwana Abrah ni mkazi, kata hvyohivyo, wilayani huko pia ndiko usauli unafanyika na vipimo vya afya kisha majina yatakayo fuzu watapangiwa katika vikosi vya JKT.

Kuingia JWTZ maranyingi huchukua waliomo katika makambi ya JKT kwa kujitolea au wanafunz wa kidato cha sita wanaopelekwa kwa mujibu wa sheria.

Wenzangu wanaweza kukazia ambapo sijatolea maelezo vzur.
 
Back
Top Bottom