Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Update

Kati ya wale watu wa taaluma zote.....wanahitajika watu 100 tu bas.

Tuzidishe maombi [emoji2363]
 
Mkuu ukipata Ajira hasa ukapelekwa Gereza alilopo Sabaya nishitue, ili unitafutie manyapala wawili hivi niwape kazi ya kufanya
 
Hivi wakuu issue ya kujiendeleza kielimu Magereza hawasumbui kutoa ruhusa.?
Kujiendeleza inategemea kwanza na kituo ulipo na Mkuu wako wa Gereza husika, Kwa Zile taaluma wanazozitaka wao ruhusa haisumbui kabisa hata iwe miaka 5 utapewa tu usome, Wengi nimeona wanasoma kwa ujanja ujanja hasa waliopo vituo vya mijini (Mwanza) Kuna watu mchana anakuwa SAUT/CBE/IFM usiku yupo mzigoni Kama kawa wengine wamepiga OUT kipindi Cha mitihani anaomba ruhusa mmoja wapo Bro zangu wawili kamaliza Law mwaka Jana na mwingine Account hizi kozi zilizoisha juzijuzi walikuwa nyota moja!!!
 
Nao walikua magereza.?
 
Update

Magereza walioenda usaili afya kati ya wale 152.......wanahitajika watu 17 tu.

Kati ya hao 17......watu 7 ni CO ndio wanatakiwa.
 
Nasikia Majibu ya interview yametoka hivi ni kweli?..kwa ambae anafaham aelezee vzur kuhusu hili maana binafsi nimemwambia sijaona
 
Back
Top Bottom