Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Nyie kuruti si niliwaambia kuwa tar 11/12/2022 mzigo unatoka mkanikatalia?? Sasa wale wote mliokuja inbox those days mkanitajia majina yenu then nikaambia msubir Mambo Bado mkanitukana. Baadhi yenu majina nimeyaona. Sasa ole wako uingie kwenye 18 zangu utajua hujui. Nitakufurahisha .
[emoji23][emoji23]wasamehe hao madogo afande
 
Back
Top Bottom