Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

IMG_5511.jpg

maafande watarajiwa nimetoka ukonga maelekezo ndio hayoo na tunatakiwa kesho asubuh tuelekee pale na nauli yako mfukoni ili tukaandikishwe majina kwa ajili ya Safari na maelekezo mengine yote tutapewa Kesho inshaallah
 
Ila ni sisi tuliopo hapa daresalam ndio linawahusu hilo tangazo....ukitaka maelekezo kamili mcheki huyu afande ndio ameachiwa ofisi leo pale reception [emoji1313][emoji1313]
IMG_5512.jpg
 
View attachment 2077958
maafande watarajiwa nimetoka ukonga maelekezo ndio hayoo na tunatakiwa kesho asubuh tuelekee pale na nauli yako mfukoni ili tukaandikishwe majina kwa ajili ya Safari na maelekezo mengine yote tutapewa Kesho inshaallah
Haya mahitaji si kuna watu watashindwa kuyamudu ..mbona zaman majeshi yalikuwa yanahudumia hivi vitu imekuaje tena?
 
View attachment 2077958
maafande watarajiwa nimetoka ukonga maelekezo ndio hayoo na tunatakiwa kesho asubuh tuelekee pale na nauli yako mfukoni ili tukaandikishwe majina kwa ajili ya Safari na maelekezo mengine yote tutapewa Kesho inshaallah

Kwa wale wa PHQ - Dodoma kama kuna maelekezo tofauti tuonaomba tafadhali[emoji1478]
 
View attachment 2077958
maafande watarajiwa nimetoka ukonga maelekezo ndio hayoo na tunatakiwa kesho asubuh tuelekee pale na nauli yako mfukoni ili tukaandikishwe majina kwa ajili ya Safari na maelekezo mengine yote tutapewa Kesho inshaallah
Bora nyie, tunaotoka Kagera nauli tu inazidi 150,000/=
 
MCHAWI DAMU[emoji38][emoji38][emoji38]
Hongera Sana mkuu nenda kapambane haswaa!! Andaa pumzi kule Kuna baridi haswaa na mazingira yakuvutia haswaa!!!

Anza hata jogging mdogomdogo Kuna ngazi hizo kupanda ukizimaliza ulimi nje Kama mbwa!!!

Kila la heri buloo!!!
 
Hilo chaka mnalijua vizuri au mnavamia kwa sababu ya njaa??
Kama mnatumia njaa mjue huko mbele mtajuta kuvamia vitu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]......jamaa umenifanya nimecheka sana....anayway hatulijui kaka ila njaa tuu LAKINI MUNGU NI MWEMA TUTAMALIZA SALAMA TUU
 
Kumaliza kozi sio issue hiyo miezi michache tu
Nature ya ile kazi mliwahi kufatilia na kujua? Nature ya ile taasisi mnaijua?
Kumbukeni inaweza kuwa rahisi kuingia ila kutoka ikawa mbinde
Enewei siwatishi kapigeni kazi tu
 
Ahaaaaa hapo nimekuelewa kaka....ngoja tuingie tuu itafahamika mbele kwa mbele
 
Kumaliza kozi sio issue hiyo miezi michache tu
Nature ya ile kazi mliwahi kufatilia na kujua? Nature ya ile taasisi mnaijua?
Kumbukeni inaweza kuwa rahisi kuingia ila kutoka ikawa mbinde
Enewei siwatishi kapigeni kazi tu
Daah kwa Tanzania hii na vijana tunavyosota bora kuajiriwa serikalini haijalishi hio kazi ikoje dadekiii [emoji2][emoji2]

Kwani mkuu kwenye hii taasisi kuna nini hasa mkuu embe tueleze

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumaliza kozi sio issue hiyo miezi michache tu Nature ya ile kazi mliwahi kufatilia na kujua? Nature ya ile taasisi mnaijua? Kumbukeni inaweza kuwa rahisi kuingia ila kutoka ikawa mbinde Enewei siwatishi kapigeni kazi tu
Kumaliza kozi sio issue hiyo miezi michache tu Nature ya ile kazi mliwahi kufatilia na kujua? Nature ya ile taasisi mnaijua? Kumbukeni inaweza kuwa rahisi kuingia ila kutoka ikawa mbinde Enewei siwatishi kapigeni kazi tu
Kumaliza kozi sio issue hiyo miezi michache tu Nature ya ile kazi mliwahi kufatilia na kujua? Nature ya ile taasisi mnaijua? Kumbukeni inaweza kuwa rahisi kuingia ila kutoka ikawa mbinde Enewei siwatishi kapigeni kazi tu
Kumaliza kozi sio issue hiyo miezi michache tu Nature ya ile kazi mliwahi kufatilia na kujua? Nature ya ile taasisi mnaijua? Kumbukeni inaweza kuwa rahisi kuingia ila kutoka ikawa mbinde Enewei siwatishi kapigeni kazi tu
Kumaliza kozi sio issue hiyo miezi michache tu
Nature ya ile kazi mliwahi kufatilia na kujua? Nature ya ile taasisi mnaijua?
Kumbukeni inaweza kuwa rahisi kuingia ila kutoka ikawa mbinde
Enewei siwatishi kapigeni kazi tu
Hii sio kauli ya kuwaambia askari walioaminiwa na kupitishwa kati ya wengi.
 
Back
Top Bottom