Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwahiyo usahili bado?
Usahili wawapi!?? Watachukua hao waliopigiwa simu haoa 800 ambao wao wanahitaji vipimo tu nawanaweza ongezea kidogo basi wakapata idadi wanayotaka ila kutangaza ajira sizani Kama watatangaza kabisa
 
Usahili wawapi!?? Watachukua hao waliopigiwa simu haoa 800 ambao wao wanahitaji vipimo tu nawanaweza ongezea kidogo basi wakapata idadi wanayotaka ila kutangaza ajira sizani Kama watatangaza kabisa
Duuh sasa hao wanao weza kuongezea kidogo wanawatoa wapi ndo maservice
 
mkuu huko magereza, ma brigedia waliambiwa wakasimamie wafungwa...coz walivyopanda vyeo ilionekana waliyaacha majukumu yao
 
mkuu huko magereza, ma brigedia waliambiwa wakasimamie wafungwa...coz walivyopanda vyeo ilionekana waliyaacha majukumu yao
Me nikiongezewa hela tu inatosha majukumu yakiwa yale yale inatosha
 
Kujisogeza unaweza jisogeza lakini uwe una diploma ya udaktari au engeneer mn hakuna form four huko
Hivi kilimo huwa hawaitwi japo JKT kule kwenye miradi ya kilimo?
 
Zimetoka wiki mbili zilizopita za madaktari na mainjinia tu
Kama...nimemuelewa vizuri alieuliza swali,ni kuwa..je ukiachilia mbali hizi zilizotoka wiki 2 zilizopita, je kuna nafasi nyengine za jkt kwa wote zitatoka?
 
Pia naomba kuulizia....kama ni miongoni mwa watu wenye sifa walizozitaja mfano ni daktari au muhandisi,ila haujapitia jkt.... unaweza ukajipeleka?
Kwenu wakuu nawasilisha 🙏🙏...
 
Pia naomba kuulizia....kama ni miongoni mwa watu wenye sifa walizozitaja mfano ni daktari au muhandisi,ila haujapitia jkt.... unaweza ukajipeleka?
Kwenu wakuu nawasilisha [emoji120][emoji120]...
Katest zari
 
Habar viongozi.
Naomba kujua ,mimi nina kimwili cha chei chei na uzito kama 54Kg , je naweza pata nafasi JW?
 
Habar viongozi.
Naomba kujua ,mimi nina kimwili cha chei chei na uzito kama 54Kg , je naweza pata nafasi JW?
Huko Makambini JW wanabeba yeyote tu hadi la saba sifa damu tu na uimara wa mwili au fani ya watu husika waliotaka kwa wakati huo mfano mwaka huu kama walivyochukua watu wa afya na wahandisi
 
Back
Top Bottom