Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,180
- 2,083
Kwani wametoaTupeni mrejesho wa tpdf makutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wametoaTupeni mrejesho wa tpdf makutu
Hapana ni Ile ya madaktarKwani wametoa
😂😂😂😂😂asa Mkuu ujinga tena wakati wao hitaji lao ni madereva wa matrektaFani wanayotaka udereva trekta jamani huu ujinga utaisha lini
Naskia Wameanza usahili leo pamoja na wale 800 walosamehewa uasi ambao wapo mafinga jktHapana ni Ile ya madaktar
Duh kwani wanafanyiwa usaili?Naskia Wameanza usahili leo pamoja na wale 800 walosamehewa uasi ambao wapo mafinga jkt
Wale 800 leo wameanza kucheck Afya tu!! Ukiwa fit wanaungana na hao waanze msotoNaskia Wameanza usahili leo pamoja na wale 800 walosamehewa uasi ambao wapo mafinga jkt
Kwahiyo usahili bado?Wale 800 leo wameanza kucheck Afya tu!! Ukiwa fit wanaungana na hao waanze msoto
Usahili wawapi!?? Watachukua hao waliopigiwa simu haoa 800 ambao wao wanahitaji vipimo tu nawanaweza ongezea kidogo basi wakapata idadi wanayotaka ila kutangaza ajira sizani Kama watatangaza kabisaKwahiyo usahili bado?
Duuh sasa hao wanao weza kuongezea kidogo wanawatoa wapi ndo maserviceUsahili wawapi!?? Watachukua hao waliopigiwa simu haoa 800 ambao wao wanahitaji vipimo tu nawanaweza ongezea kidogo basi wakapata idadi wanayotaka ila kutangaza ajira sizani Kama watatangaza kabisa
Yes, Watakuwa Service ManDuuh sasa hao wanao weza kuongezea kidogo wanawatoa wapi ndo maservice
Me nikiongezewa hela tu inatosha majukumu yakiwa yale yale inatoshamkuu huko magereza, ma brigedia waliambiwa wakasimamie wafungwa...coz walivyopanda vyeo ilionekana waliyaacha majukumu yao
Hivi kilimo huwa hawaitwi japo JKT kule kwenye miradi ya kilimo?Kujisogeza unaweza jisogeza lakini uwe una diploma ya udaktari au engeneer mn hakuna form four huko
Vipi tpdf wanaweza chukua tena mwaka huu intake mpya ya kawaidaZimetoka wiki mbili zilizopita za madaktari na mainjinia tu
Kama...nimemuelewa vizuri alieuliza swali,ni kuwa..je ukiachilia mbali hizi zilizotoka wiki 2 zilizopita, je kuna nafasi nyengine za jkt kwa wote zitatoka?Zimetoka wiki mbili zilizopita za madaktari na mainjinia tu
Katest zariPia naomba kuulizia....kama ni miongoni mwa watu wenye sifa walizozitaja mfano ni daktari au muhandisi,ila haujapitia jkt.... unaweza ukajipeleka?
Kwenu wakuu nawasilisha [emoji120][emoji120]...
Huko Makambini JW wanabeba yeyote tu hadi la saba sifa damu tu na uimara wa mwili au fani ya watu husika waliotaka kwa wakati huo mfano mwaka huu kama walivyochukua watu wa afya na wahandisiHabar viongozi.
Naomba kujua ,mimi nina kimwili cha chei chei na uzito kama 54Kg , je naweza pata nafasi JW?