Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah mwezi wa tisa kabisa huo sema

Mtu ukipata dili la sensa siku zitakuwa zinaenda kasi sana huku ukiingiza mpunga

Ila ukiwa unga unga mwana mwezi wa tisa parefu kudadekiii
Yah mzee na nadhani na vyombo vingine vitakuja umeona wameanza prison watakuja PT may be Tanapa migration alaf dec Tipidiii
 
Migration Gwanda zao pia kali sana [emoji3]

Hivi hao polisi na majeshi mengine ya wizara ya ndani si miezi 6 mkuu mafunzo ?

Maana hao polisi waje Fasta wasituchomeshe mahindi mpka mda huu toka mwaka jana miezi sita bado tu kozi gani hio isiyoisha
Miezi nane kozi hao
 
Migration Gwanda zao pia kali sana [emoji3]

Hivi hao polisi na majeshi mengine ya wizara ya ndani si miezi 6 mkuu mafunzo ?

Maana hao polisi waje Fasta wasituchomeshe mahindi mpka mda huu toka mwaka jana miezi sita bado tu kozi gani hio isiyoisha
Immigration walinikataa ata usaili sijaitwa na vigezo nilikuwa navyo ..haya maisha bhna
 
Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum

Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini


All the best wadau [emoji120][emoji120]
Huyu mwamba tulikuwa naye kwenye huu Uzi alikuwa na mchango wake pia ..jamaa Mungu amasaidie amalize kozi salama .
 
Huyu mwamba naye yupo kichakamiba huko nadhani..god bless him/her
wanangu tutawanyike kutafuta connection.kutoboa kavu kavu uwe unabahati sana.wote mnajua wenzetu wengi wapo kozini.cc pekee ndio tumebaki na tusipo chomoa kwenye huu utawala wa mama ngumu sana kuja kupata upenyo tena
 
Kunguru wa Manzese
Gpili

Abrah GI
chlorine gas
muuchangamshe uzi huu kwa ajili ya uhamiaji na takukuru

Mimi nasepa kiwira

Tuombeane wadau bado safari ndefu,tukirud mwezi wa 7 tutawasabahi ndugu zetu
[emoji120][emoji120]


ALL THE BEST WAKUU.....never give up[emoji1320][emoji1320]
Daah na mimi zamu yangu itafika


Huyu ndugu yetu atakuwa ndio anamalizia
 
Back
Top Bottom