Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah mwezi wa tisa kabisa huo semaIle source ilisema baada ya sensa wanakuja
Mtu ukipata dili la sensa siku zitakuwa zinaenda kasi sana huku ukiingiza mpunga
Ila ukiwa unga unga mwana mwezi wa tisa parefu kudadekiii