Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Inategemea na level ya elimu yake,kama 93 kwa diploma au certificate na degree ni tofauti.
Maana kuna watu wa masters wengine...walichokua wanaangalia ni level ya elimu na umri.

Nazani wengi walio tolewa ni certificates na diploma.
No mshikaji ametimuliwa huko ana dai jamaa walikuwa na list ya watu wa 93 Waka somwa Waka ambiwa tembea
 
Inategemea na level ya elimu yake,kama 93 kwa diploma au certificate na degree ni tofauti.
Maana kuna watu wa masters wengine...walichokua wanaangalia ni level ya elimu na umri.

Nazani wengi walio tolewa ni certificates na diploma.
Daah hivi huko makutupora watu wanajipeleka vipi yaani jawa jw hawaji kabisa mtaani
 
Inategemea na level ya elimu yake,kama 93 kwa diploma au certificate na degree ni tofauti.
Maana kuna watu wa masters wengine...walichokua wanaangalia ni level ya elimu na umri.

Nazani wengi walio tolewa ni certificates na diploma.
Washikaji na wajua wote wa 93 wna dgree za afya moja toka muhimbili mwingine kahiruki
 
Baada ya sensa mkuu ndio wanakuja vumulia tu
Duhhh kumbee kwa hio walioko ccp mpak sensa imalize ndo watoke koz yao ndefu hatar majeshi yote yaliyokwenda koz mwsho washaapa wamebak wao na uhamiaj mwez wa 8 wanamaliza nahis wao watakua hawajamaliza hatar sana
 
Nasemea kutangazwa hizo ajira

Kutangazwa na ku pass out ni vitu viwili tofauti mkuu
 
Laki tatu ya vinywaji

Na laki moja ya pango

Na bado hela ya umeme na maji

Kwa anaenza huyu warder anakula kilo tano

Bado kuna bonus zao

Masaa ya kazi mwisho 8 tofauti na polisi ukizidisha unalipwa tena cash

Kupata vyeo ni rahisi tofauti na polisi

Mafunzo miezi sita uhakika wa kuapa unao tofauti na polisi ukiteleza kidogo unarudishwa ukiumwa wiki tu wanakuandikia unfit unarudishwa

Sasa kwa nini usiipende magereza

Kwa mtakaobahatika kwenda Kiwira mtakuwa mmetoboa sana
Kwamba magereza wanaovertime,Posho ya maji na umeme +100k ya pango?[emoji1][emoji1]

hayo mambo mtayasikia kwa JW pekee nyie endeleeni kusaga meno.

kidogo ndugu zenu polisi nasikia wanapata posho ya lindo.
 
Wakuu hivi mbuyu naweza nikampata vipi? Maana kama pesa ya kumuhonga ipo ntazungusha bakuli kwenye familia haraka sana.
 
Back
Top Bottom