No mshikaji ametimuliwa huko ana dai jamaa walikuwa na list ya watu wa 93 Waka somwa Waka ambiwa tembeaEeh....wameanzia wa 1993,ingawa wameambiwa waache majina..kukitokea chochote wataitwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No mshikaji ametimuliwa huko ana dai jamaa walikuwa na list ya watu wa 93 Waka somwa Waka ambiwa tembeaEeh....wameanzia wa 1993,ingawa wameambiwa waache majina..kukitokea chochote wataitwa.
Noma sanaWatu makutupora waliondoka na machovi na degree zao
Kula karoti potiNoma sana
Daah waende polisi tu maana kama ni magereza tayari mambo yashafungwaNo mshikaji ametimuliwa huko ana dai jamaa walikuwa na list ya watu wa 93 Waka somwa Waka ambiwa tembea
No mshikaji ametimuliwa huko ana dai jamaa walikuwa na list ya watu wa 93 Waka somwa Waka ambiwa tembea
Daah hivi huko makutupora watu wanajipeleka vipi yaani jawa jw hawaji kabisa mtaaniInategemea na level ya elimu yake,kama 93 kwa diploma au certificate na degree ni tofauti.
Maana kuna watu wa masters wengine...walichokua wanaangalia ni level ya elimu na umri.
Nazani wengi walio tolewa ni certificates na diploma.
Magereza too late mkuu maybe Kama Wana mibuyu mikubwaDaah waende polisi tu maana kama ni magereza tayari mambo yashafungwa
Washikaji na wajua wote wa 93 wna dgree za afya moja toka muhimbili mwingine kahirukiInategemea na level ya elimu yake,kama 93 kwa diploma au certificate na degree ni tofauti.
Maana kuna watu wa masters wengine...walichokua wanaangalia ni level ya elimu na umri.
Nazani wengi walio tolewa ni certificates na diploma.
Baada ya hyo sensa ndio mambo yatakuwa mengiLeteni Lonja wakuu maana mkeka wa sensa haueleweki mpaka sasa utakuja vipi.
Baada ya sensa mkuu ndio wanakuja vumulia tuHiv ccp hawajamaliza na kupassout uko wakaja mtaani kutubeba naona Hali siyo kabisa
Duhhh kumbee kwa hio walioko ccp mpak sensa imalize ndo watoke koz yao ndefu hatar majeshi yote yaliyokwenda koz mwsho washaapa wamebak wao na uhamiaj mwez wa 8 wanamaliza nahis wao watakua hawajamaliza hatar sanaBaada ya sensa mkuu ndio wanakuja vumulia tu
Nasemea kutangazwa hizo ajiraDuhhh kumbee kwa hio walioko ccp mpak sensa imalize ndo watoke koz yao ndefu hatar majeshi yote yaliyokwenda koz mwsho washaapa wamebak wao na uhamiaj mwez wa 8 wanamaliza nahis wao watakua hawajamaliza hatar sana
Sawa mkuu hiv huna lonja ccp wanamaliz liniNasemea kutangazwa hizo ajira
Kutangazwa na ku pass out ni vitu viwili tofauti mkuu
Kwamba magereza wanaovertime,Posho ya maji na umeme +100k ya pango?[emoji1][emoji1]Laki tatu ya vinywaji
Na laki moja ya pango
Na bado hela ya umeme na maji
Kwa anaenza huyu warder anakula kilo tano
Bado kuna bonus zao
Masaa ya kazi mwisho 8 tofauti na polisi ukizidisha unalipwa tena cash
Kupata vyeo ni rahisi tofauti na polisi
Mafunzo miezi sita uhakika wa kuapa unao tofauti na polisi ukiteleza kidogo unarudishwa ukiumwa wiki tu wanakuandikia unfit unarudishwa
Sasa kwa nini usiipende magereza
Kwa mtakaobahatika kwenda Kiwira mtakuwa mmetoboa sana
Mzee una wait kiwiraBaada ya sensa mkuu ndio wanakuja vumulia tu
Nasubiri tu pdf ndio ina maelekezo yote kuripoti ni lini na majina ya wanao ripotiMzee una wait kiwira