Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Inagoma ku upload bt kapitie uzi wa ajira za polisi
 

Attachments

  • Screenshot_20220622-071520.png
    Screenshot_20220622-071520.png
    145.2 KB · Views: 19
Kweli Asee ..sema kwa magereza tangu kamishna mpya alivyoteuliwa hajapata muda wa kukaa na kuongea na Rais kutokana na wingi wa mambo ikiwemo ziara nyingi za muheshimiwa Rais ,punde watakapokutana tu nadhani mambo yatakuwa mazuri .
Hamna hio haiwezi kuwa sababu maana kama kibali cha kuajiri washapewa, usaili ushaisha wa ngazi ya mikoa tushajua matokeo yetu na meseji walitutumia sasa sijui shida nini

Itakuwa bajeti tu
 
Back
Top Bottom