Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Pamoja man hio ndio slogan [emoji123]Hongera sana mkuu tupo pamoja hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke.[emoji109]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja man hio ndio slogan [emoji123]Hongera sana mkuu tupo pamoja hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke.[emoji109]
Hongera Sana mkuu kila la kheriKwanzia mwaka 2021 nahangaika na huu uzi naona washkaji wakisepa tu wakipungua
Hatimaye na mimi naondoka mtaani napungua kwenye huu uzi
Tusikate tamaa wahuni wangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Dahh hongera sana broh,mungu ni mwema sema umeniacha broh [emoji28]Kwanzia mwaka 2021 nahangaika na huu uzi naona washkaji wakisepa tu wakipungua
Hatimaye na mimi naondoka mtaani napungua kwenye huu uzi
Tusikate tamaa wahuni wangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kila la kheri kaka ukamalize salamaKwanzia mwaka 2021 nahangaika na huu uzi naona washkaji wakisepa tu wakipungua
Hatimaye na mimi naondoka mtaani napungua kwenye huu uzi
Tusikate tamaa wahuni wangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwaheri mzee ...[emoji16] enzi zile kuna id tulikuwa tunashinda nazo humu daah wanatuaga roho inauma kichizi wadau wachache tuliobakia id nikiziona nilikuwa napata hope wahun wangu bado nipo nao tutaondoka tu sema nini kaka irudie ile id yako nitapenda na wewe uondoke nayo kwa kishindo [emoji16][emoji123] inshaallah [emoji120]Dahh hongera sana broh,mungu ni mwema sema umeniacha broh [emoji28]
Kwaheri mzee ...[emoji16] enzi zile kuna id tulikuwa tunashinda nazo humu daah wanatuaga roho inauma kichizi wadau wachache tuliobakia id nikiziona nilikuwa napata hope wahun wangu bado nipo nao tutaondoka tu sema nini kaka irudie ile id yako nitapenda na wewe uondoke nayo kwa kishindo [emoji16][emoji123] inshaallah [emoji120]
Polisi na uhamiaji na fire wanakuja najua mwanangu hapo lazima uondoke
Tusisahau kuombeana dua mkuu...Kwaheri mzee ...[emoji16] enzi zile kuna id tulikuwa tunashinda nazo humu daah wanatuaga roho inauma kichizi wadau wachache tuliobakia id nikiziona nilikuwa napata hope wahun wangu bado nipo nao tutaondoka tu sema nini kaka irudie ile id yako nitapenda na wewe uondoke nayo kwa kishindo [emoji16][emoji123] inshaallah [emoji120]
Polisi na uhamiaji na fire wanakuja najua mwanangu hapo lazima uondoke na mmoja
ile id hawataki kila nikijaribu kuirudishaKwaheri mzee ...[emoji16] enzi zile kuna id tulikuwa tunashinda nazo humu daah wanatuaga roho inauma kichizi wadau wachache tuliobakia id nikiziona nilikuwa napata hope wahun wangu bado nipo nao tutaondoka tu sema nini kaka irudie ile id yako nitapenda na wewe uondoke nayo kwa kishindo [emoji16][emoji123] inshaallah [emoji120]
Polisi na uhamiaji na fire wanakuja najua mwanangu hapo lazima uondoke na mmoja
Mkuu hongera sana , u deserve it. Kapambane. Huu uzi nabaki mimi tu mpaka natamani kulia🤔Tupo [emoji2]
tuwasubirie polisi na immigrationMkuu hongera sana , u deserve it. Kapambane. Huu uzi nabaki mimi tu mpaka natamani kulia🤔
HIV immigration nao wanaweza kutoa nafasi?t
tuwasubirie polisi na immigration
HIV migration nao wanaweza kutoa?t
tuwasubirie polisi na immigration
Migration wametoka juzi tu hapa,,, Na chuoni kuna kozi ya nyota inaendelea labda mwakani hukoHIV migration nao wanaweza kutoa?
Kama yupo jkt utaratibu wote watapewa na wakuu wa vikosi ila kwa kumsaidia vifaa alivyokuwa navyo jkt ndiyo hivyo hivyo vitakavyomsaidia kule ila vyeti aisahau originalNina manzi wangu flani yupo Jkt flani yeye ameshachaguliwa na kesho anaripoti chuo cha magereza....sasa sijajua utaratibu wanaotumia hawa watu.
Daaah kwahiyo wanaokuwa makambini, wanachukuliwaga hukohuko makambini chifu?Nina manzi wangu flani yupo Jkt flani yeye ameshachaguliwa na kesho anaripoti chuo cha magereza....sasa sijajua utaratibu wanaotumia hawa watu.
Wapo wanaotokea makambini mbonaDaaah kwahiyo wanaokuwa makambini, wanachukuliwaga hukohuko makambini chifu?
Kwahiyo kwenye hayo majina kuna wa makambini na wa kutoka mtaa au siyo?
Asante mkuu .Na wewe utaondoka mkuu yaani lazima tupungue wote inshaallah [emoji120]Mkuu hongera sana , u deserve it. Kapambane. Huu uzi nabaki mimi tu mpaka natamani kulia[emoji848]
Ndio .mimi nimetokea mtaaniDaaah kwahiyo wanaokuwa makambini, wanachukuliwaga hukohuko makambini chifu?
Kwahiyo kwenye hayo majina kuna wa makambini na wa kutoka mtaa au siyo?