Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Trend mzee.Wanangu kariakoo wamecharuka kununua BMW X1 181..
Nyie wengine mnakimbia kwenye BMW na wengine wananunua kama pipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trend mzee.Wanangu kariakoo wamecharuka kununua BMW X1 181..
Nyie wengine mnakimbia kwenye BMW na wengine wananunua kama pipi
Kwasababu ni German. Hafu kipato chake average. Lazima angelia.
Means outlander n old fashion?1. Mafuta. Itakua ngumu kujudge kwasababu haujawa specific kwenye mwaka, na engine size. Pia kuna model hapo zinatumia petrol na zingine diesel. Ila Mazda ya diesel 2.2 L itakua inakunywa wese kiduchu.
2. Uimara. Zote nzuri kwasababu za Japan. Wajapan wanajitahidi sana. Ila Toyota hana mpinzani, kisha Mitsubishi na Mazda wanapokezana. Ila still kuna factors nyingi mfano model year, matumizi ya owner akietangulia na service history.
3. Speed ya nini? Ukitaka speed chukua performance cars kama Audi, BM na Benz.
4. Vipuri. Zote unapata. Kariakoo wana spare hadi za Tesla.
5. Ukisasa. Nunua latest. Utaenjoy. Ila uyo bwana outlander outdated kama jina lake.
6. Muonekano ipo subjective. Kama demu tu. Mwingine anapenda shepu la Zuchu mwingine Sanchoka.
7. Izo gari zote bei ni 25 to 30M.
Yupo sahihi, vangard anabwia sn…tafuta kuijua MAZDA CX5 kwanza
Pita Hivi 👉🏼Kwani hujaona hapo kama nimejibu?!