Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
-
- #201
Ahsante dada yake lovu youbasi komaa alisema alidhani we ni yule shoga.. haya kila la kheri
Enheeee umegundua nini sasaNazidi kuunganisha dot....
Naendelea kujiridhisha sasa
kunywa maji ya moto zege lilegeeAhsante sana ningependa nipelekwe india nikafanyiwe upasuaji
Hahaaa si unataka niwe domo bakuli sasaku
kunywa maji ya moto zege lilegee
MMMH SASA UKITUAMBIA SIE TUTAKUSAIDIAJE?Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Nilidhani haya nayaona pekeyangu.....Ahsante kwa hilo, ila I have a feeling wewe ni Mondray....nipinge
MnishauriMMMH SASA UKITUAMBIA SIE TUTAKUSAIDIAJE?
Kwahiyo uchunguzi wako unaonyesha vipiNilidhani haya nayaona pekeyangu.....
Kumbe tupo wengi tunao mtazama kijana kwa jicho la tatu....[emoji45] [emoji45]
hahahahaha ndo itakua rahis kutelemsha ilo zigo la moyoniHahaaa si unataka niwe domo bakuli sasa
MaliziaHaRafu ww aspirin aliniambia niku...
Wew si shem wangu kwa Mondray niliona akimuomba aspirinMalizia
Mkuu hunipendi aisee wewe hutaki niwe napewa supu ya ulimi etihahahahaha ndo itakua rahis kutelemsha ilo zigo la moyoni
UmenifananishaWew si shem wangu kwa Mondray niliona akimuomba aspirin
Niwewe bwana si ndio sakayo. Halafu hua unaenda kapukuUmenifananisha
HapanaNiwewe bwana si ndio sakayo. Halafu hua unaenda kapuku
Sawa umeshinda ngoja atoke. BanHapana
Nani huyoSawa umeshinda ngoja atoke. Ban
Utamjua tuNani huyo
already taken huyoo
Siwezi mjua ka husemiUtamjua tu