Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Hahahaaa! Jisaidie mwenyewe kwanza mimi niite hatua za mwisho
Duuh yaani nampenda hadi kizunguzungu. Kwa maupendo yangu nikaanzisha huu uzi kwa ajili yake japo sikumwambia
 

Hii ni ID yako ya ngapi? huu uandishi si mgeni hapa JF anyway karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…