me nimeshamjua pacha sijui wataelewana koKo unafikiri ni nani pacha
Kwani si umtajeeeJamani msichana mwenyewe mpo nae mnashindwa kumwambia. Niambilieni au nimtaje tu
Hehehe, UmeonaeeeHao watoto hawachelewi mkitibuana tu keshakuanzishia thread
Yaani wewe ngoja nikuweke kipoloYaan hata kiss tu akipata keshaenda kutangaza watoto bana
HeheheNgoja ivuga aje sasa
Maana,sakayo na numbisa
Wako aria nawaona wanazunguka
Zunguka tu
nitakwambia pacha tukiwa wenyeweWapi huko
Akaa nataka wapi aibu ya moyoni moyoni mana hutajwi jina ila unajijua hapa nasemwa mimi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
The the hutak kuzishiwa uz
Emmyta
Watoto wazd kukuongezea baraka
[emoji2] [emoji2] [emoji13]
Wacha weeWanagombea msichana na Saint Ivuga
Unadhani ungekuwa umekua ungeshindwa kumwambia kweli?Nani mtoto wewe bibie
Siwataki kabisa yaani wapite mbaliYaan hata kiss tu akipata keshaenda kutangaza watoto bana
Kome nimeshamjua pacha sijui wataelewana ko
Kwani msichana mwenyewe humjuiWacha wee
Hahaa! Ndio zetu wanawake itakuwa wanamalizia kujipara haoNgoja ivuga aje sasa
Maana,sakayo na numbisa
Wako aria nawaona wanazunguka
Zunguka tu
Hawafai hata kidogoHehehe, Umeonaeee
HapanaKwani msichana mwenyewe humjui
Tatizo sio kujua tatizo ni je unataaluma ya ushawishi (utongozaji) je?Unadhani ungekuwa umekua ungeshindwa kumwambia kweli?
Si ndio mana nakwambia we bado mtoto.Tatizo sio kujua tatizo ni je unataaluma ya ushawishi (utongozaji) je?
(In brother K voice)